CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

Swala la wabunge kuchangia chama lipo kikatiba,ila kama Mbunge anaona kero kuchangia chama basi aache ubunge tuone kama atalazimishwa kuchanga.
 
mbwa wewe wa ufipa
Wewe kuniita mimi Mbwa unaona siyo tusi ila tukijenga hoja kwamba CCM wameishiwa pumzi ndiyo unaona tusi. Nioneshe hata bandiko langu moja tu ambalo nimemtukana mtu yeyote yule wa CCM?

Halafu usikariri kwamba kila mtu mwana CHADEMA yupo Ufipa ama anajuana na watu wa Makao Makuu ya chama. Hakuna mtu anayeweza kuniajiri kutoa mawazo yangu. Yaani niwe na utashi wangu halafu mtu mwingine anifundishe jinsi ya kuutumia!!??
 
Moja ya faraja kubwa anayopata Mbowe ni kuwa na mshabiki kama wewe!

Hili taifa kuendelea ni kazi sana kwa akili kama hizi zako.

Pole sana mwagito

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna andiko hata moja linaelezea mazuri ya serikali ya awamu ya tano we ni kukosoa tuu,inamaa mengi mazur uyaoni,wee ni kumpamba mbowe tuu ufisadi wa mbowe uhuuoni,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema wangeweka wazi mapato na matumizi yao. Humo itajulikana uongo na ukweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mapato na Matumizi ya CCM unayajua?

Unajua wakili Albert Msando alikua katika kamati gani CCM?

Unajua KM Bashir Ally alikua katika kamati gani CCM kabla ya kua Katibu Mkuu?
 
Hakuna andiko hata moja linaelezea mazuri ya serikali ya awamu ya tano we ni kukosoa tuu,inamaa mengi mazur uyaoni,wee ni kumpamba mbowe tuu ufisadi wa mbowe uhuuoni,
Nyie wenye kuyaona hayo mazuri ya serikali hii inayoongozwa na CCM si ndiyo muyaseme. Mnatakaje kila mtanzania ayaone hayo mazuri bila ya CCM kuongoza serikali?

Wewe ni lini uliisifia CHADEMA? Halafu kumbuka kwamb serikali inaendeshwa kwa kutumia kodi wanazokusanya toka kwetu ivo ni wajibu wetu kuikosoa inapokosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…