Chadema yawatakia heri ya Idd Waislam pamoja na Watanzania wote kwa ujumla

Heri gani wameandaa mafujo huko Mwanza siku yetu ya imani. Kwa nini wapange siku yetu ya ibada ya kuchinja kuleta vurugu? Halafu wanatukebehi kututakia heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…