Bado hujasema, mpaka usemeee!!!!!!..hii taarifa sio ya kweli.
..Salum Mwalimu ameonyesha kutokuridhishwa na utekelezaji wa falsafa ya 4R.
View: https://www.youtube.com/watch?v=WMNZqOQv-jo
Bado hujasema, mpaka usemeee!!!!!!
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa Chadema, ambapo sasa Chadema is undergoing transformational metamorphosis from chama cha kiharakati into chama tawala in waiting.Chadema wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika SSH ni kiongozi bora anayekubalika na makundi yote ya kisiasa. Ni suala la finishing tu 2025.
Kauli hii inawaponda wale waliokuwa wanasema maridhiano hayana faida na hayana mafanikio.
View attachment 2861116
Hivi hawa kina Michuzi mbona wana damu ya uchawa-chawa tu? Kuna familia nyingine ni kama laana hivi. Michuzi li-blog lake ndilo lililukuwa linaongoza kwa kupitiwa na watu wengi miaka hiyo lakini uchawa ukampoza na likamfia kifo cha mende.Chadema wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika SSH ni kiongozi bora anayekubalika na makundi yote ya kisiasa. Ni suala la finishing tu 2025.
Kauli hii inawaponda wale waliokuwa wanasema maridhiano hayana faida na hayana mafanikio.
View attachment 2861116
Bado yuko vizuri, lile blogu lilijaa mapicha tu, ukizingatia fani yake,sasa hivi anaenda kwa weledi mkubwa sanaHivi hawa kina Michuzi mbona wana damu ya uchawa-chawa tu? Kuna familia nyingine ni kama laana hivi. Michuzi li-blog lake ndilo lililukuwa linaongoza kwa kupitiwa na watu wengi miaka hiyo lakini uchawa ukampoza na likamfia kifo cha mende.
Chadema wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya kitaifa, amemwaga sifa kwa Rais Samia kufanikisha maridhiano. Hakika SSH ni kiongozi bora anayekubalika na makundi yote ya kisiasa. Ni suala la finishing tu 2025.
Kauli hii inawaponda wale waliokuwa wanasema maridhiano hayana faida na hayana mafanikio.
View attachment 2861116
Unamtukana kiongozi wako?
..hii taarifa sio ya kweli.
..Salum Mwalimu ameonyesha kutokuridhishwa na utekelezaji wa falsafa ya 4R.
View: https://www.youtube.com/watch?v=WMNZqOQv-jo
Zitto, Mbowe ni madalali wa siasa za Tz!!. Wenye akili timamu tulishagundua chadema ni kikosi kazi chakudangya wtz kwa mgongo wa upinzani.
#Mbowe atupishe chamani.
Huu ni mwanzo mzuri sana kwa Chadema, ambapo sasa Chadema is undergoing transformational metamorphosis from chama cha kiharakati into chama tawala in waiting.
P
Nyodo za CHADEMA kwishnei
...sasa wamekaa mkao wa kisinia wakisubiri boflo