CHADEMA yazidi kuwafikia Wananchi wa Tanzania

Nani uwapotosha chama tawala au pinzani kinaweza tatua shida zako kama ni hivyo tungeona Zambia Malawi Kenya Ghana nk wao wameendelea kutuzidi
 
Una akili timamu?
Lete hoja acha porojo za wanasiasa wanakutumia wewe mjinga ili washibe.
KAZI ya mjinga ni kumtajirisha nabii, mwanasiasa, mganga wa kienyeji, mfanyabiashara au tajiri.
Pesa duniani zipo kwa wajinga
 
Tupo tayar kuchangia na ningeomba mfanye mchakato wafikishie hata Kwa watu wengine walioko vijijini Kuna watu hawana simu janja
 
Lete hoja acha porojo za wanasiasa wanakutumia wewe mjinga ili washibe.
KAZI ya mjinga ni kumtajirisha nabii, mwanasiasa, mganga wa kienyeji, mfanyabiashara au tajiri.
Pesa duniani zipo kwa wajinga
Sasa unamlilia nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…