PreGE2025 Chadema Zanzibar Sasa ni moto, baada ya Mamluki wa CCM Mwalimu na wenzake kusepa

PreGE2025 Chadema Zanzibar Sasa ni moto, baada ya Mamluki wa CCM Mwalimu na wenzake kusepa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri.

Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa kwenye daftari la malipo la CCM.

Baada ya kusepa, tunaona chadema ilionekana na kuhoji issue za msingi kama chama cha siasa

Kwa mwendo huu CHADEMA Zanzibar inaweza kuwa chama kukuu cha upinzani zanzibar kwa sababu kile chama cha kigoma kitabezwa kwa kuwa kikaragosi cha CCM.



View: https://www.youtube.com/live/oSP8xrkPQ2o?si=tWOHECGUO8csm2af
 
Tutajua kama ni mungu wa nani safari hii
 
Back
Top Bottom