Elections 2010 CHADEMA's Free Education Promise not a Hoax, a long awaited Response



This is where we should accept that we are Tanzanians and for that we can bravely make our own choice of the future we want for our country.

CCM is full of selfish people who enjoy bullying the 'have not' and the 'lessers'. They are people who enjoy schooling their children to PHD levels abroad while the neighbours' children couldn't even complete s.t.d seven. Ok, there is an unfounded excuse that their parents did not work hard....no no way... here in TZ!!!! work hard in embezzling public funds...UFISADI!!!??

Scandnavian flavor is people who believe in the best neighbourhood, the best communities and the best mutual interactions, to achieve this you need not only to be educated yourself but also to live with people of the same calibre. This is available only to people who do not live like contenders but partners, believing that teamwork is the best for fast and accurate development.

Hivi kama watoto wako wakisoma ulaya na wa jirani zako wakasoma chini ya mwembe, watakapokuja kuishi pamoja hapa nchini furaha yako ni nini? Kwamba watoto wako wataabudiwa? la hasha. Waliokosa elimu watakimbilia kwenye ujambazi na maisha ya watoto wako yatakuwa hatarini.....nchi hii haitakuwa Tanzania tena.

Mfumo wa elimu wa CCM utasababisha kuwe na wasomi wachache waliobobea na wasio na mahala pa kufanya kazi nchini hivyo wataenda kufanya kazi Cyprus........sorry nothing personal....lakini kutakuwa na mbumbumbu wengi ambao mwishowe watakimbilia bunduki....hivyo kazi za maana nchi hii zitachukuliwa na wageni.....lakini wabongo tutakuwa majambazi tuliojizira. Hali hii ni mbaya hata kwa maslahi ya hao watoto wa vigogo wa CCM. Dr Slaa ameliona hilo na anataka kuleta mabadiliko kuliokoa taifa hili na maangamizi haya.

East African Federation itatumaliza kabisa kwa hali hii inayoendekezwa na CCM kwa kuwa na mfumo huu mbovu wa sasa.

Pesa za radar ambayo haikuwa na manufaa yeyote ya maana zilitokea wapi? kwa bajeti ipi? na zile za kutoa rushwa je? CCM walizitoa kwa wahisani? Wizi wa pesa za madeni ya nje ambazo zilitumika kusaidia JK wa CCM ashinde je mnazionaje mnaopinga elimu ya bure...ziko nje ya bajeti au ndani ya bajeti au CCM imetoa kipaumbele kwenye nini hasa.....kuingia Ikulu???

Mkapa aliwahi kusema ''if you think education is expensive, try ignorance'' ingawa quotation hii aliitoa kutetea uchangiaji wa kinyonyaji lakini nadhani hakuelewa kuwa msemo huu ni kwa serikali ya CCM yenyewe ambayo inataka mkulima wa njegere mwenye pato la Sh 30,000/= kwa mwezi achangie gharama za zaidi ya sh milioni mbili kwa mwaka au la mtoto wake asisome. Hapa tuna-try ignorance chini ya CCM.

Mwalimu nyerere aliwahi kusema kuwa' if you want to help the poor, educate their Children'. Hiki ndicho CHADEMA na mgombea wao Dr. Slaa wanaahidi kukifanya,..... na kinatekelezeka.
 
Tanzania is not a poor country. We have so many natural resources (Gold, diamond, uranium, tanzanet, gas etc) and I am very surprised by your notion that our country is a poor country.

Poor in terms of balance of trade, huwezi kusema nchi tajiri kwa sababu ina maliasili ambazo hazinufaishi watu.
 
Pia kuna nchi tajiri tu za dunia ya kwanza na bado elimu ni bure.

Hatujawa nchi tajiri ya dunia ya kwanza bado, labda tukifika huko tutaweza kufikiria hilo. In any case hii siyo strong argument kwa sababu kuna wengine watakwambia kuna nchi tajiri za dunia ya kwanza ambazo hazina elimun ya bure kwa wote.

Nasoma mawazo ya wengi, naona watu hawaoni 9au hawajali kwa sababu tunapenda kuwa absolutist) distinction kati ya elimu bure kwa wasioweza kulipia na elimu bure kwa wote.

I support the former, not the latter.
 

Watu gani hao? Unaweza kuwataja au unafanya vast generalization tu? Mimi nimepinga manunuzi ya jet na rada na mengi yanayofanana na hayo, na napinga elimu bure kwa wote. Sasa nisingependa kuwekwa kundi moja na watu hao ambao hawana majina.
 
Elimu bure kwa wote bila kubagua ni matumizi mazuri ya rasilimali zetu. Hata kidogo mtu huwezi kunishawishi kuwa eti hayo ni matumizi mabaya ya fedha (rasilimali).

Mali bila daftrai, hupotea bila habari. Mnataka kuleta free for all scenario, hapo hapo mnasisitiza financial discipline kupunguza wizara and all, contradiction.

Kama kweli mnataka financial discipline na strict resource management waacheni wenye uwezo wajilipie.
 
Naona viongozi wetu wana problem ya kuwa na negative attitude tuu as a result hawana ata utashi wa kudare kufanya mambo
 
Mali bila daftrai, hupotea bila habari. Mnataka kuleta free for all scenario, hapo hapo mnasisitiza financial discipline kupunguza wizara and all, contradiction.

Yep...kupunguza wizara na matumizi mengine mabaya ya fedha ili kuwekeza zaidi ktk sekta ya elimu, afya, miundombinu na mambo mengine muhimu!! Hakuna ubaya hapo na hakuna contradiction.

Kama kweli mnataka financial discipline na strict resource management waacheni wenye uwezo wajilipie.

Hivi dhumuni la financial discipline na strict resource management ni nini kama siyo kuwa na fedha za kutosha kuwekeza kwenye miradi ya maendeleo?
 


Mkuu hakuna aliyebisha Elimu ya Bure haiwezekani; either kwa makusudi au kwa bahati mbaya ; umeamua kubadilisha maana ya nilichoandika.

Elimu ya Bure Inawezekana, lakini ninazani tutakuwa mapunguwani kuwalipia hata wale wanaojiweza, hii ni pointi ya muhimu:

Pili: Swali langu la Msingi ambalo limepotoshwa ni kwamba Je CHADEMA itakabilianaje na Mashirika ya Fedha Ili kuhakikisha malengo yake yanafikiwa katika kutoa elimu ya Bure ? Na nimeelezea kwa kina jinsi haya mashirika yalivyo kinyume na utolewaji wa huduma bure ? Hili ni swali la msingi kwasababu CHADEMA itakapoingia madarakani kama itashinda, Itayakuta haya mashirika , na haya mashirika hayawezi kubadilisha msimamo wao eti kwasbabu chadema imeingia madarakani, kwahiyo hilo ni swali la msingi na lazima lijibiwe bila kupindishwa pindishwa.JE CHADEMA wanaweza kuwaambia hao world Bank GO TO HELL Kama unavyosema? Haya yote yanahitaji majibu

Tatu: Wazo langu kuu katika jibu langu ilikuwa ni kuongeza zaidi uwekezaji katika maeneo ya Vijijini na Kupunguza uwekezaji katika maeneo ya Mijini, sasa kama wewe unaona hilo nalo ni unyonyaji sikuelewi. Ninaamini Watu wanaoshi mijini lazima wajitoe zaidi, walipe kodi zaidi na hata walipie haduma za elimu na afya. Kwa miaka mingi Tanzania na Nchi nyingi za Africa tumeendelea kuwekeza Mijini na kuwaacha watu wa Vijijini hoi, na kwa ubinafsi huo huo wakusema kila kitu Bure unakuta serekali inatoa kipaumbele kwenye hospitali/shule za majini wakati watu wamijini wanweza kujikimu kwenda kweny hospitali binafsi wakati huo watu wa Vijijini wanakufa bila huduma za afya.
 
Cost sharing ilianza na hawahawa wafadhili. are budget is dependent. cost sharing haitakwepeka.
 
Elimu ya Bure Inawezekana, lakini ninazani tutakuwa mapunguwani kuwalipia hata wale wanaojiweza, hii ni pointi ya muhimu:

Kwa nini iwe upunguwani? Hiyo elimu ya bure si italipiwa na kodi za wananchi? Sasa kwa nini wale walipao kodi kubwa zaidi wasifaidi matunda ya kodi zao kupitia elimu ya bure kuanzia msingi hadi upili?
 
Elimu bure kwa wote bila kubagua ni matumizi mazuri ya rasilimali zetu. Hata kidogo mtu huwezi kunishawishi kuwa eti hayo ni matumizi mabaya ya fedha (rasilimali).
Kuwaomba watanzania wenye Ahueni kulipia zaidi gharama za Jamii sio Ubaguzi ni Uzalendo.
 

Sasa kama dhumuni la kufanya A ni kuweza kupata uwezo B ili uweze kufanya C, kwa nini usifanye mambo serially? Fanya A, pata uwezo B then fanya C.

Leta financial discipline (including kuwalipisha wanaoweza kulipa) pata uwezo wa kiuchumi wa kulipia wote bila kujali kama wanaweza kujilipia au sivyo, then wekeza hizo vyovyote unavyotaka, hata kama ni kusomesha watu wote bure.

Wewe sasa unataka kuleta habari ya kusomesha watu wote bure kwa kodi ambayo hata hujakusanya?

Katika accountancy kuna kitu kinaitwa "realization principle" basically meaning do not count your eggs before they are hatched.

Sisi hata kodi hatujakusanya bado tushaanza kupigia mahesabu ya kusomesha kila mtu bure, hata hatujui tutaweza kukusanya kiasi gani in realistic terms. Na hata tukiweza kukusanya it is not like matatizo yetu ni elimu tu, tuna matatizo kibao. Tupange kutumia fedha zetu vizuri.
 
Kwa nini iwe upunguwani? Hiyo elimu ya bure si italipiwa na kodi za wananchi? Sasa kwa nini wale walipao kodi kubwa zaidi wasifaidi matunda ya kodi zao kupitia elimu ya bure kuanzia msingi hadi upili?

Kwa kasi ya Maendeleo tunayohitaji Tanzania, tuhitaji kila senti inayoweza kukusanywa. Ila kama unasema swala la Kasi ya maendeleo sio kipao mbele kwako basi hakutakuwa na haja ya kuwalpisha wanaojiweza. Ila ninaamini Economic Growth inayotakiwa Tanzania itawezekana tu kwa kutokuchukulia any stream of income for granted.
 
Poor in terms of balance of trade, huwezi kusema nchi tajiri kwa sababu ina maliasili ambazo hazinufaishi watu.
The country is not poor..tunao tu vingunge wafuajaji wenye mawazo finyu ambao wamshindwa kukonvert rasimali kwenda katika terms zingine za valuables ambazo zingeweza kufanya mambo mengine. Lakini in terms of utajiri ktk larger picture sisi ni matajiri sana tuuu.
 

Dude, unaelewa balance of trade niliyoitaja hapo juu ni nini?

Nenda dukani uwaambie watu "mimi baba yangu tajiri sana, ana mashamba mengi" nipatie mchele kilo kumi, uone kama utajiri wenu utakusaidia. Tunaongelea utajiri ulio liquid hapa, si maliasili ambazo hatuwezi hata kuzitumia.
 

You can walk, chew gum, and talk on the phone at the same time, can't you?
 

Hoja hapo ilikuwa kwamba ktk nchi tajiri ukimsaka a common Joe kipato chake bado kipo juu, na angeweza kulipia hiyo elimu bila tatizo lolote, lakini bado serikali zao zinaona ni poa tu wasome bure. Yote hiyo inategemea mipango yao na wala sio suala la kukariri au kutaka tu based on kutaka, it should be backed with financial power of the government ktk ku-afford hiyo decision based on mipango na mikakati yake.
 
Dude, unaelewa balance of trade niliyoitaja hapo juu ni nini?

Nenda dukani uwaambie watu "mimi baba yangu tajiri sana, ana mashamba mengi" nipatie mchele kilo kumi, uone kama utajiri wenu utakusaidia.
Nani kongelea habari za balance of trade?
 
You can walk, chew gum, and talk on the phone at the same time, can't you?

Yes, but you can't project based on projection's projections.

One step at a time please. No quantum leaps this side of the atom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…