chademi udom waponda maamuzi ya ccm

chademi udom waponda maamuzi ya ccm

namboyo

Member
Joined
Apr 8, 2011
Posts
58
Reaction score
6
wafuusi wa chadema udom na wanaharakati wameponda staili iliyotumiwa na ccm huku wakisema wangeanza na kuwafukuza mafisadi kumi walioko ndani ya ccm hata hivyo mjadala uliopo kwa baadhi ya wanafunzi umebaini kuwa ni mpango wa kikwete kumuundaa lowasa kuwa raisi huku wengi wa wafuusi wa ccm wakikimbia chama chao wakisema mswada unanuka damu utaleta vita huku wakijiandaa na maandamano ya tarehe 16/4/2011 ya kupinga mswada maandamano hayo yatafanyika mikoa kumi na saba huku vijana wengi wakisema wanataka kuongozwa na lema moto lazima uwake.......................
 
mmh ningeshangaa cdm wangetoa pongezi !hata hvyo hivi nyoka akijivua gamba haumi.............?kama alikuwa ana sumu itakwisha?




:mmph:
 
Back
Top Bottom