wafuusi wa chadema udom na wanaharakati wameponda staili iliyotumiwa na ccm huku wakisema wangeanza na kuwafukuza mafisadi kumi walioko ndani ya ccm hata hivyo mjadala uliopo kwa baadhi ya wanafunzi umebaini kuwa ni mpango wa kikwete kumuundaa lowasa kuwa raisi huku wengi wa wafuusi wa ccm wakikimbia chama chao wakisema mswada unanuka damu utaleta vita huku wakijiandaa na maandamano ya tarehe 16/4/2011 ya kupinga mswada maandamano hayo yatafanyika mikoa kumi na saba huku vijana wengi wakisema wanataka kuongozwa na lema moto lazima uwake.......................