Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Jaman inatoka lini black panther mpya?
 
Rest in external peace Chadwick Boseman .......gone too soon.
 
What's a great loss, Ripking Tchala #wakandaforever
 
Hoja yako haieleweki.

Utoto ni nini??

Unamaana Cinema Thieta inapozinduliwa Movie let say Black Panther pale Mlimani ukumbi ulijazwa na watoto ??

Mbona mweupe boy.
 
Watu mna matusi jamani
Mim hizo movie huniambii kitu aisee tena huyo boseman nampenda mno alifit kuigiza king of wakanda yaan alikuwa akitokea na ule mwanga lazima nipige kelele kwa shangwee
Nawewe umooo!!![emoji16][emoji3][emoji3]
 
Hoja yako haieleweki.

Utoto ni nini??

Unamaana Cinema Thieta inapozinduliwa Movie let say Black Panther pale Mlimani ukumbi ulijazwa na watoto ??

Mbona mweupe boy.
Wewe ni "debe" tupu boy, ndio maana unaona hizi movies za Marvel ni movies "konki".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…