Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?
asante...
Hahahahaha pancho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?
asante...
Huwezi jua uzuri wa Marver Movie endapo utaangalia kama Normal Human ukitaka ujue uzuri wake uangalie kama Marvel Fans (Fan boys)...jukwaani kuna fan boy wawili nawajua Da'Vinci na Tony-stark
Zina storyline yake nzuri na inaitaji ubongo sana kuifatilia kifupi Mbongo anaefatilia Marvel Movies lazima atakuwa Smart tu hata maisha yake yakawaida malachache sana kumkita mbugira wa mtaani anafuatilia Marvel Comics Movie.
Kwakweli ata mimi nimecheka basi tu inaumiza yani nami pia ni mbugira 🤪
Boss nikisema hivi 'kila anayefuatilia MCU ni smart' kwahiyo ndio nimemaanisha wasiofuatilia ni Mbugira.
Vyema ukasoma vizuri.
Ndio ninyi ni mbugira maana naona munanilazimisha sasa.
aaah
aaah 2012 ndio ile Avenger adui Loki yale madubwasha makubwa yanatoka juu ambayo pia yako kwenye Endgame hapo nimeelewa kumbe midubwasha ya Thanos.
Jamaa alikuwa vizuri mno nilibahatika kumuona kwenye movie ya 21 bridgesInasikitisha. Kumbe watu tunawaona wanafuraha kumbe ndani wanapigania maisha yao. Sikuwahi kusikia mahali kuwa ana cancer. Too sad. Kaondoka kijana mbichi kabisa. Mungu ampumnzishe kwa amani.
Sio 60 ni 50Dude 43 si kijana mbichi? Ujue Michael alifariki akiwa na 60 watu wakalalamika sana "he died young"
Huyu kijana bado mdogo.
Kenge huyu acha nikaangalie zile za kutafsiriwa ..Kwa hiyo watu smart mmebaki mnajadilii hojaa
Mbugira kimyaa [emoji23]
Kenge huyu acha nikaangalie zile za kutafsiriwa ..
Malipo ni hapa hapa
Naona umejitahidi kuzipamba movies za kitoto, Marvel Comics Movies ni movies za kitoto (japo watu wazima wanaweza kuvutiwa nazo pia). Hivi kabisa wewe unaona movies kama Captain America, Spider Man, Ant-Man, The Incredible Hulk zinahitaji uwe smart kuziangalia. Utasemaje kuhusu movies kama Enemy, Memento, Predestination, Interstellar, Looper, Se7en, Arrival, The Prestige?Zina storyline yake nzuri na inaitaji ubongo sana kuifatilia kifupi Mbongo anaefatilia Marvel Movies lazima atakuwa Smart tu hata maisha yake yakawaida malachache sana kumkita mbugira wa mtaani anafuatilia Marvel Comics Movie.
Mbona unachanganya Category Boss Movie za Category zote mbona tupo deep ila hapa tupo kwenye Si-Fi usichanganye nzisha uzi wa hizo category nyengine uwone tunavyokufanya ujui..Naona umejitahidi kuzipamba movies za kitoto, Marvel Comics Movies ni movies za kitoto (japo watu wazima wanaweza kuvutiwa nazo pia). Hivi kabisa wewe unaona movies kama Captain America, Spider Man, Ant-Man, The Incredible Hulk zinahitaji uwe smart kuziangalia. Utasemaje kuhusu movies kama Enemy, Memento, Predestination, Interstellar, Looper, Se7en, Arrival, The Prestige?
Kama inahitaji ubongo sana kuangalia Spider Man, Chief utaweza kuangalia Inception kweli? Sidhani kama utaweza! Utarudisha movie nyuma kila muda.
Acha kuruka ruka Kiongozi! Hakuna mahala umezungumzia Sci-Fi movies.Mbona unachanganya Category Boss Movie za Category zote mbona tupo deep ila hapa tupo kwenye Si-Fi usichanganye nzisha uzi wa hizo category nyengine uwone tunavyokufanya ujui..
Then sisi hatuzungumzii kuangalia tunazungumzia kufuatilia kuangalia hata mtoto wa chekechekea anaweza.
Mambo kama yapi yalitokea kutokana na movie za namna hiyo?!Mkuu ni kweli kabisa ukiwa mshabiki wa muvi hizi unafunguka akili..unakua unakua vitu vingi. Hawa majamaa hawaigizi ujinga..wakiigiza kitu basi ujue kinakuja kutokea soooon..
Yaani sijui utaisema marvel sehemu ipi nishindwe kuchangia... Kama hawajamaa wameshindwa kuelewa muvi za phase zilizopita basi zijazo hawatelewa. Maana sasa hivi watakua wanadeal na viumbe wengine kutoka sayari na Universe tofauti. Eg.. Eternals.
Kama wapo weupe kichwani kwenye fiziksi au Cosmology lazima waone ni utoto tu
Inception ni noma zaidi.Naona umejitahidi kuzipamba movies za kitoto, Marvel Comics Movies ni movies za kitoto (japo watu wazima wanaweza kuvutiwa nazo pia). Hivi kabisa wewe unaona movies kama Captain America, Spider Man, Ant-Man, The Incredible Hulk zinahitaji uwe smart kuziangalia. Utasemaje kuhusu movies kama Enemy, Memento, Predestination, Interstellar, Looper, Se7en, Arrival, The Prestige?
Kama inahitaji ubongo sana kuangalia Spider Man, Chief utaweza kuangalia Inception kweli? Sidhani kama utaweza! Utarudisha movie nyuma kila muda.
Yeah, Christopher Nolan katika ubora wake, hana movie ya "kitoto" huyo mtu. Nasubiri kukiona kigongo chake cha Tenet, nina uhakika itakuwa bonge moja la kazi.Inception ni noma zaidi.
Hii movie sijawahi kuianalia kuna watu wawili watatu walisema ni ya kipuuzi tu nami nikahisi ya kipuuzi maana movie za ma super heroes kama spiderman, batman, iron man, thor and the like uwa sizielewi. Na fast and furious naona nayo franchise yake kwangu inaanza kupoteza taste yake ya mwanzo.Aisee 2022 sijui Black Panther 2 itakua vipi,maana ishatengenezwa na jamaa amefariki! Ila Omari Hardwick wa Power anafaa kurithi hiki kiti! #WakandaForever