Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Unasababishwa na kufanya mapenzi mala chache
mmmmh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasababishwa na kufanya mapenzi mala chache
Sasa kama Mpira huangalii kuna starehe IPI unaipata duniani hapa .hapo bado ujala bia dah kula bia mkuuUnavyonishangaa ndio mimi navyowashangaa mnaopenda
Hasa hapo kwenye mpira na pombe sijui mnainjoi nini
- Mpira
- Pombe
- Na Club
13million Dollars kiongoziAmeacha $ ngapi kwenye Akaunti yake?
R.I.P T'Challa King
Sasa kama Mpira huangalii kuna starehe IPI unaipata duniani hapa .hapo bado ujala bia dah kula bia mkuu
Mimi pia jomonii nilijua hata 40 bado,. Rip Chad' 😔R.i.p
Kumbe mkubwa,mi nilijua yuko kwny 35 ivi
Dude 43 si kijana mbichi? Ujue Michael alifariki akiwa na 60 watu wakalalamika sana "he died young"dada una umri gani, jamaa ana 43 how come unasema kijana mbichi!
Yaani wewe uko kama mimi.Movie ambayo sijawah kuielewa wala kuipenda.
Imejaa "imagination" sana kuliko uhalisia.
Nb.
Mtazamo wangu
Yes wana superpower wote sijui ningetumia lugha gani au tusema sio Exteme Super Power kama wakina Vision, Captain Marvel, Thor au Wanda yaani Power zao ni ndogo zina action kama binadamu wa kawaida mfano Vaibranium Arm wa Winter Soldier unaongeaza nguvu ya mapigano tu hivyo hivyo Panther na Captain ila ukija kwa watu kama Wanda anaweza pasua kifaru kwa kufinya mikono tu.No. Black Panther na Captain wote wananguvu za ziada.
Black panther anatumia suit yenye uwezo mkubwa kwa kutumia vibranium pia alitumia ile dawa aliyokunywa wakati anatawazwa ufalme. Ile inamuongezea speed na strength
Cap alipewa super soldier serum ndio maana ana nguvu nyingi hata ukimpiga risasi hafi... Winter soldier pia alipewa dawa ndio maana kaweza kuishi miaka 100 bila kuzeeka na kuwa very powerful
Kwa marvel character ambae anapiga mkono kwa mkono na hana supepower ni Shang Chi.. mwamba anapiga hardcore kungfu na Wushu, MCU nzima ndio anaongoza. Ngoja mwakani ifike ujionee
Huwezi jua uzuri wa Marver Movie endapo utaangalia kama Normal Human ukitaka ujue uzuri wake uangalie kama Marvel Fans (Fan boys)...jukwaani kuna fan boy wawili nawajua Da'Vinci na Tony-starkHivi mnawezaje kuangalia haya madude .MTU anapigwa risasi hafi?
kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?Huwezi jua uzuri wa Marver Movie endapo utaangalia kama Normal Human ukitaka ujue uzuri wake uangalie kama Marvel Fans (Fan boys)...jukwaani kuna fan boy wawili nawajua Da'Vinci na Tony-stark
Zina storyline yake nzuri na inaitaji ubongo sana kuifatilia kifupi Mbongo anaefatilia Marvel Movies lazima atakuwa Smart tu hata maisha yake yakawaida malachache sana kumkita mbugira wa mtaani anafuatilia Marvel Comics Movie.
Boss nikisema hivi 'kila anayefuatilia MCU ni smart' kwahiyo ndio nimemaanisha wasiofuatilia ni Mbugira.kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?
asante...
Kwakweli ata mimi nimecheka basi tu inaumiza yani nami pia ni mbugira 🤪kwahiyo sisi ni mbugira si ndio?
asante...