Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

'' In my culture, death is not the end'':- king t'challa.

may your soul rest in peace brother. Utaishi ndani mwetu daima.
 
Mmh kuhani sasa ndio umeandika shudu gani hili😑
😃😃.. canser inasababishwa na mambo mengi sana, na tunaweza kabiliana na kwa njia nyingi sana pia. Kama zilivyo aina mbali mbali za kansa, pia zina visababishi tofauti, na zina tiba tofauti tofauti na namna ya kujizui kwa mbinu tofauti tofauti.. hili sio shudu nitakushushia nondo hadi ushangae
 
[emoji2][emoji2].. canser inasababishwa na mambo mengi sana, na tunaweza kabiliana na kwa njia nyingi sana pia. Kama zilivyo aina mbali mbali za kansa, pia zina visababishi tofauti, na zina tiba tofauti tofauti na namna ya kujizui kwa mbinu tofauti tofauti.. hili sio shudu nitakushushia nondo hadi ushangae
Nishushie basi.
 
Kweli kila mmoja ana vita yake anayopigana haijalishi ni nani.Raia walikua wanamuandama muonekano wake bila kujua kumbe jamaa mgonjwa
 
Back
Top Bottom