Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Chadwick Boseman, nyota wa filamu ya 'Black Panther' amefariki dunia kwa kansa

Kwakweli huyu mwamba ni moja kati ya actor wa MCU walionivutia na sio tu kwa kigezo cha Black..Ila appearance tu ya Gentleman pamoja na Chris Evans.

Anyway alikua anamkataba wa muvi 7 na MCU kama sijakosea na 5 zilikua tayari.
Anyway safari ndio ishafika tamati.

Hapo ndio mtaona uchawi wa wazungu wataleta Perfect replacement mwenye kufanana na Chadwick (sio kwa CGI)

Si mnakumbuka kifo cha Andy Whitefield aliyecheza kama Spartacus mwaka 2011? Alipokufa walimleta Liam MCntyre akaziba pengo lake. Na wanafanana haswa.

FB_IMG_15986768983989270.jpg
 
View attachment 1551432
Andy na Liam hawakufanana hata kidogo, kuanzia muonekano, acting zao, Andy alikua Andy na Liam anabaki kua Liam, pia ndio ilichangia Spartacus ikaisha mapema.
 
Los Angeles

Chadwick Boseman, star of
the ground-breaking
superhero movie "Black
Panther," has died after a
private four-year battle
with colon cancer, his
publicist said.
Boseman, 43, never
publicly discussed his
condition and continued
to work on major
Hollywood films during
and between "countless"
operations and
chemotherapy, his family
said in a statement.
"It was the honor of his
career to bring King
T'Challa to life in 'Black
Panther,'" they said.
"A true fighter, Chadwick
persevered through it all,"
the statement added.
Boseman became the first
black superhero to get his
own standalone film in
the record-breaking
Marvel franchise with
2018's "Black Panther."
The movie, set in the
fictional African kingdom
of Wakanda, was adored
by critics and audiences,
becoming the first comic
book film to be nominated
for best picture at the
Oscars and grossing over
$1 billion worldwide.
Boseman had not publicly
discussed his condition, which
was first diagnosed in 2016, and
continued to work on major
Hollywood films.
Earlier in his career,
Boseman played black
icons Jackie Robinson in
"42" -- today, ironically,
was Jackie Robinson Day
in the US -- and James
Brown in "Get on Up."
The news of Boseman's
death sent shockwaves
through Hollywood and
around the world.
"The true power of
@chadwickboseman was
bigger than anything we
saw on screen," wrote
Democratic presidential
candidate Joe Biden.
"From the Black Panther
to Jackie Robinson, he
inspired generations and
showed them they can be
anything they want -- even
super heroes."
Boseman's Marvel co-star
Mark Ruffalo tweeted:
"Brother, you were one of
the all time greats and
your greatness was only
beginning. Lord love ya.
Rest in power, King."
Leading US civil rights
organization the NAACP
praised Boseman for
"showing us how to
conquer adversity with
grace" and "to walk as a
King, without losing the
common touch."
"#RestInPower
#BlackPantherForever," its
tweet concluded.
Boseman had recently
appeared in Spike Lee's
Vietnam War-set "Da 5
Bloods," and was set to
appear in a sequel to
"Black Panther" due in
2022.
"Our hearts are broken
and our thoughts are with
Chadwick Boseman's
family. Your legacy will
live on forever. Rest In
Peace," wrote the official
Marvel Twitter account.
His character T'Challa,
king and protector of
technologically advanced
Wakanda, was the first
black superhero in
mainstream American
comics, having been
featured in "The Fantastic
Four" in 1966.
The Marvel film was
celebrated as an important
cultural moment for its
mainly black cast, and for
subverting stereotypes by
depicting a prosperous
African country that takes
in refugees and extends its
culture and technology to
poorer nations.
Boseman shrugged off
doubters who tried to
convince him not to give
the superhero an African
accent.
"There was a time period
where people would ask
me questions about
whether or not an
audience could sit through
a movie with a lead
character that spoke with
that accent," he said at the
time.
"I became adamant about
the fact that it's not true,"
he added.
Born in South Carolina,
the son of a nurse and an
upholstery entrepreneur,
Boseman has roots in the
west African state of
Sierra Leone.
Before Marvel, he was
best known for acclaimed
portrayal of the legendary
Robinson in Brian
Helgeland's "42" (2013),
which had the highest-
grossing debut for a
baseball movie in
Hollywood history.
He was also lavished with
praise for his
interpretation of soul
singer Brown in "Get on
Up" (2014), earning
inclusion among the top
10 performances of 2014
by Time magazine.
Boseman died in his home
"with his wife and family
by his side," the statement
said.
 
Andy na Liam hawakufanana hata kidogo, kuanzia muonekano, acting zao, Andy alikua Andy na Liam anabaki kua Liam, pia ndio ilichangia Spartacus ikaisha mapema.
Hili nalo jipya kwangu..sidhani kama wanaweza sitisha filamu kisa muigizaji fulani.

Mimi nachojua history ya Spartacus inaishia pale anapokufa maana hata kiuhalisia aliishia kufa hakuweza kuwakomboa watu miaka hiyo ya BC.
Kama Spartacus ingeendelea basi ingefanyiwa prequel ambayo sterling angekua ni ganicus na potrayer wa ganicus sio liam.

Ninachojua mimi muvi ili isitishwe ni kutokana na Critics hasa au mauzo..kama ingekua sababu ni andy kufa basi wangeishia s3(blood and sand) ila liam kacheza zote na kukamilisha stori.

Andy na Liam wanafanana hata kama unaona hawafanani naweza kukutajia orodha ya actor wengine wenyekufanana
 
m

Eti mm ndo nafahamu leo
 
Inasikitisha. Kumbe watu tunawaona wanafuraha kumbe ndani wanapigania maisha yao. Sikuwahi kusikia mahali kuwa ana cancer. Too sad. Kaondoka kijana mbichi kabisa. Mungu ampumnzishe kwa amani.

Yaan inauma kweli kumbe alikuwa akiigiza huku anaumwa. Huo ugonjwa unasababishwa na nini
 
=========

Chadwick Boseman arrives at the Oscars

Jordan Strauss/Invision/AP
Chadwick Boseman, star of “Black Panther,” died on Friday after a four year battle with colon cancer, his rep confirmed to Variety. He was 43.
Before he was cast as the Marvel Studios superhero, Boseman’s career first exploded with his portrayals of Black American icons Jackie Robinson (in 2013’s “42”) and James Brown (in 2014’s “Get on Up”).

“It is with immeasurable grief that we confirm the passing of Chadwick Boseman,” said a statement posted to his Twitter feed. “It was the honor of his life to bring King T’Challa to life in Black Panther.”

Although Boseman never spoke publicly about his diagnosis, according the statement, he worked through his treatment for much of his career, including playing another Black American icon, NCAAP lawyer Thurgood Marshall in 2017’s “Marshall,” a year before the premiere of “Black Panther.” Boseman most recently appeared in the Spike Lee’s Vietnam War drama “Da 5 Bloods,” and this year he’s due to appear opposite Viola Davis “Ma Rainey’s Black Bottom,” a feature adaptation of the August Wilson play, directed by Goerge C. Wolfe.

He is survived by his wife and family.
So sad! RIP legend.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] [emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Daaaah Rest In Eternal Peace Legend
 
Back
Top Bottom