mdhalendo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2011
- 282
- 273
Wadau kama kuna anayemfaham yule demu aliyekuwa anadate na prezzo atufahamishe huyu binti ameobukia wapi bcoz huko instagram ni fujo za picha picha from morning to evening. "Umaarufu" wake umetokana na nini na anafanya shughuli gani inayomsababisha aishi maisha yale ya rangirangi. Au ndo wale wakina Masogangeism??. I'm just curious


