MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,197
Mbowe amekula jeuri yake wale hastahili huruma. Tena ashukuru mahakama imefumba macho ALISTAHILI AENDE JELA MIEZI 3 KWA KUDHARAU MAHAKAMANimemuona kamishna wa operation na mafunzo wa Polisi Bw.Chagonja akielezea kuhusu kukamatwa kwa Mbowe.
Napenda nimkumbushe tukio dogo tu mabalo halijasahaulika nalo ni kushindwa kumkamata Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala licha hakimu kutoa amri ya kukamatwa.
Pia ameshindwa kujibu hoja ya kwa nini kibali kiliomwa ofisi ya bunge kabla ya kumhoji Mbunge wa CCM toka Shinyanga?
Unawapa wapinzani umaarufu ukiamini kuwa unakisaidia Chama tawala,Pole sana!!!!!