Chagonja amdhalilisha mbowe na watanzania waishio kariakoo

Mbowe amekula jeuri yake wale hastahili huruma. Tena ashukuru mahakama imefumba macho ALISTAHILI AENDE JELA MIEZI 3 KWA KUDHARAU MAHAKAMA
 
Hana miaka mitano yule atakuwa uraiani si tunawaona wengi wanasugua zege mtaani -kanikera sana chagonja basi tuuuuu.
 
Sijui nifanye nini ndugu zangu nisafirishwe katika ndege ya jeshi na escot kubwa kama alivyofanyiwa Freeman. Naona wivu
 
Chagonja anafunua mbele, nyuma anaacha wazi!!! Pole Chagonja na kutafuta umaarufu wako. Mmemlinda mzee bila kulala halafu leo kaachiwa kilaini kama ananawa mlifikiri hatakwenda bunge la bajeti? Kazi ni Kwako!!
 
Alikuwa amevuta bangi nini huyu jamaa? maana wao na debe za bangi wanakaa nazo kila siku ofisini kwao.
 
Chagonja ni **** si tu, maana hukurupuka bila kujua anakokwenda. Anakaa nyangwa nyuma ya kata yangu. Libabu sio riziki.
 
well said!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…