Mkuu kwema? nina 5.5M. Je inawezekana?Toyota premio
Cc 1490
Year 2009
Price: 10.5m
View attachment 1699144View attachment 1699145View attachment 1699147
Sawa mkuu. ukiwa na gari ya bei hiyo niambie mkuu.Hapana mkuu, hata kama kuna maongezi kidogo but uko chini sana.
Tafuta pesa. Acha kuotaaiseee siku moja Mungu anisaidie na Mimi nitembee nimekaa, one day yes
Kuna sehemu nimesema naota Mkuu?Tafuta pesa. Acha kuota
Chukua 6 mkuu.Toyota RUNX
cc 1490
Engine vvti
Price: 8.7m
View attachment 1699171View attachment 1699174View attachment 1699175
Mpaka ngapi mkuu?Jivute boss.
Nguvu zangu zimeishia 7m mkuu.Fika 8 nijaribu kuongea na owner
SawaOK..tupo pamoja mkuu!
Nina m 3 kamili naiomba hii chief.Toyota vitz
Cc 1290
Vvti
Price: 4.6m
View attachment 1699261View attachment 1699262View attachment 1699263View attachment 1699264
Hii ya mwaka gani Mkuu, Km inasoma ngapToyota premio
Cc 1490
Price: 9.5m
View attachment 1700444View attachment 1700445View attachment 1700447
Hii hebu ipige picha vizuri yaani weka picha nyingi nyingi za hii premioToyota premio
Cc 1490
Price: 9.5m
View attachment 1700444View attachment 1700445View attachment 1700447