Car4Sale Chagua gari ulipendalo hapa kwa bei nzuri

Ila maisha bwana pesa ipo kwenye account ila sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha hiyo Rav 4 nyeupe umeielewa sana mzee.... ukiwa hauna familia unanunua mkuu, ila ukiwa na familia unakuwa na mipango ya kuendeleza familia zaidi baadhi ya vitu unavyovipenda unavikosa kishingo upande..
 
Acha tu mwanangu
Maisha hayaaaa
 
Hiyo premio old model ngapi kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…