Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu.
Bila kupepesa macho, kuna izi hybrid mbili kutoka Japan (Toyota Prius na Honda Insight) ambazo zinafanana na kutofautiana mambo mengi sana.
Kwa kuanza zote naomba tutumie za mwaka mmoja, 2009 ambapo kwa Prius ndio alikua anaanza generation ya tatu na Insight yeye anaanza generation ya pili.
Kwaku muonekano ni subjective kila mtu ana taste yake, nadhani ilo utajiamulia mwenyewe.
Toyota Prius
Prius ni best selling hybrid duniani, na wametoka mbali sana na technology yao ya hybridi.
Kwenye huu mpambano, Prius ana more power (ina engine kubwa 1.8L na 134 hp total kutoka engine + motors), fine driving esp unavotoka EV kwenda Engine, AC inafanya kazi ata engine ikizima kwenye foreni, na ni more fuel economy zaidi.
Kununua kutoka JP itakutoka CIF ya wastani wa $4000.
Ushuru wa TRA kwa mwaka 2009 Million 9.6 tu.
Kwa kuona hapo Prius ni gharama zaidi. Utahitaji atleast million 20 uweze kuiagiza tunavyoandika leo na ndani imekaa plain sana, haina mambo mengi.
Honda Insight
Sijui ni Honda au Toyota kuna mtu aliiba blueprint ya mwenzie. Maana aya magari yametoka same year hafu yamefanana muonekano wa nje.
Honda IMA hybrid system nayo iko vizuri na rahisi kupata 20km/L bila nguvu.
Ingawa engine yake ndogo 1.3L itakua na upungufu wa nguvu kidogo ukifananisha na Prius mwenye 1.8L engine.
Kutoka JP utahitaji wastani wa CIF ya $3000.
Ushuru wa hii Insight ya mwaka 2009 utachangia Million 6.5 tu.
Insight ni cheaper, kwa Mil 15 unaweza kuagiza kutokea JP leo, pia muonekano wa ndani upo vizuri. Napendelea handbrake ya kuvuta na mkono kuliko kukanyaga kama ya Prius (this is personal)!
Kwa mimi napenda Prius kama pesa sio tatizo, ila gharama zaidi so naweza badirisha mawazo nikaenda Aqua (Prius C) ambayo naweza pata cheaper kidogo (Mil 18 naweza pata) ila still Insight ni cheapest.
Kwa kusave zaidi ya Million 5, naweza sema Insight nayo iangaliwe kwa jicho la upili.