Chagua JAMAL MALINZI NA WALLACE KARIA-

Kampeni nyingine ni za kitoto, kikabila na kizandiki. Sijaliona kosa la Bulesi hadi sasa
Na sisi si wapiga kura huko TFF lakini vurugu za kugombea urais wa TFF zinakuzwa kwa ajili ya tamaa
Mtatuulia mpira wetu, na Tanzania haitakaa iendelee kisoka kwa kumuweka mtu kama Jamal Malinzi ambaye kila mtu amemlalamikia kwani hana tofauti na mtu anayeng'angania kuingia Ikulu,
JK "Mkimuona mtu anaitafuta Ikulu kwa pesa muogopeni kama Ukoma. Mimi nimekaa Ikulu miaka 25, ikulu sio mahali pa kukimbilia"
Biashara kwenye TFF hakuna ila ni kula jasho la wachezaji tu.
Naona kina MATUMLA ndio wanaoweza kumuelezea huyu DON KING na kwa nini aliacha mambo ya BOXING kukimbilia FOOTBALL wakati kote hana historia ya kucheza chochote ila biashara
 
Lakini Mh J Malinzi si member humu? kwanini asije hapa uwanjani mzima mzima na kutoa sera zake pia tukiwa kama wadau tupate nafasi ya kuzichambua ikibidi kumuuliza maswali. Kabla sija weka nia ya kumchagua ningependa aje hapa yeye mwenyewe.

Tena kuna uwezekano mkubwa kabisa kuwa Jamal Malinzi ni Bishanga wa chitchat. Maana kuna nyuzi humu alijichanganya na kujibu akiwa Bishanga.

JF ina mambo.
 
Last edited by a moderator:
Mwenyekiti wa kagera unakaa dar? Halaf ahadi ni nzuri inabidi tuandkshane mkataba ukshndwa kutekeleza ushatakiwe.vngnevyo hakuna jpya hapo tff Jamal Malinzi,bishanga!
 
Last edited by a moderator:
Kazi mliyonipa nimeimaliza kwa kishindo! MALINZI na KARIA WOTE MMEPITA MUNGU awatie Nguvu ktk kazi hii mpya
 

Mkuu kweli uliona mbali,Malinzi kiazi kabisa
 
ningekuwa mjumbe ningemchagua j.malinzi.
Tenga matumaini mengi yalikuwa kwake, ila ndio hivyo tena.

Namkubali sana JAMAL,,,nawahimiza Wajumbe na wapiga kura wote kumpa kura za Kutosha Ndugu Jamal Emil Malinzi

mimi nampa kura yangu Jamali Malinzi

kuna mtu anaitwa rubeya na kipenga sujui wamelipwa pesa na yule nyamlaniiiii wanamponda jamal balaa, niliwasikia times fm ile siku ya kwanza ya kuanza kampeni nikajiuliza hawa wametumwaaaaaaaa

Huyu mtu Jamal Malinzi mpuuuzi kabisa sijui kama alikuwa na sifa ya kuongoza TFF
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…