Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,383
- 11,197
Kampeni nyingine ni za kitoto, kikabila na kizandiki. Sijaliona kosa la Bulesi hadi sasaBulesi, wewe ni mchumia Tumbo, unahangaika Nyamlani anakutumia kama Mpira wa Kike, anataka kificha Kashfa zake za Fedha za FIFA. Nyamlani ni mwizi, mwizi, mwizi...Kama tunataka maendeleo ya kweli katika Tasnia ya Soka basi JAMAL MALINZI ndio mtu sahihi. Kwa sasa tunahitaji fikra mpya, Nyamlani hana jipya. HE HAS BEEN THERE FOR ALMOST 8 YEARS, ANA KIPYA GANI, ZAIDI YA FITNA NA KUTAKA KULINDANA?. Ungana nasi kumsapport JAMAL
Na sisi si wapiga kura huko TFF lakini vurugu za kugombea urais wa TFF zinakuzwa kwa ajili ya tamaa
Mtatuulia mpira wetu, na Tanzania haitakaa iendelee kisoka kwa kumuweka mtu kama Jamal Malinzi ambaye kila mtu amemlalamikia kwani hana tofauti na mtu anayeng'angania kuingia Ikulu,
Biashara kwenye TFF hakuna ila ni kula jasho la wachezaji tu.JK "Mkimuona mtu anaitafuta Ikulu kwa pesa muogopeni kama Ukoma. Mimi nimekaa Ikulu miaka 25, ikulu sio mahali pa kukimbilia"
Naona kina MATUMLA ndio wanaoweza kumuelezea huyu DON KING na kwa nini aliacha mambo ya BOXING kukimbilia FOOTBALL wakati kote hana historia ya kucheza chochote ila biashara