Chagua jambo moja kati ya haya yafuatayo.

Chagua jambo moja kati ya haya yafuatayo.

Lugha za wastaafu hizo ambao baba jeska alisemwa wanawashwa.

Zizoee tu [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Upendo ni tiba.
hahahahahahaha halafu nakuhitaji kule mahali kuna jambo nataka ulitatue mara moja
 
Unapajua jela vizuri mkuu??
Au umeandika tu.
Swali zuri sana
f9ee5b3f541101ad2227de87a78331e7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna x mmoja alinilia pesa saana. Nafikiri ningekuwa mbali saana kama asingekula pesa zangu za mtaji.
jamani msamehe tu maana hata wewe kuna vitu ulikuwa una enjoy ndo maana zikawa zinakutoka bila kuwaza

teh teh pole my blood brother
 
jamani msamehe tu maana hata wewe kuna vitu ulikuwa una enjoy ndo maana zikawa zinakutoka bila kuwaza

teh teh pole my blood brother
Vitu nilivyopata from her ni vichache saana. Boxa na singlend.

Huyu simsamehi...labda anirudishie tupesa twangu
 
Na ile nyingine my brother? Ile ya siri hukuwa unapata?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji87] [emoji85]
Ile si ilikuwa inasubiri paroko aweke sahihi...
Nadhani hapo ndipo nlipofanya mistake
 
Back
Top Bottom