Chagua mmoja kati ya upcoming Ballon D'orer hawa

kaka-blaza

Member
Joined
Nov 7, 2019
Posts
96
Reaction score
141
Kama ungepewa nafasi ya kuwa mshauri mkuu kwenye timu yako, na kuna nafasi moja ya usajili na hao vijana wawili wapo sokoni. Ungemchukua nani kati yao?

Au kwa kifupi tuseme kuwa kwa mtazamo wako ni nani Bora zaidi ya mwenzake
A: MBAPPE
B: HAALAND

na je ni yupi atawahi kuchukua ballon d'or kati ya hawa Messi na Ronaldo wa kizazi kipya?

 
Hao madogo wote hamna wa kuchukua ballon

Hawa ndio watu wanaweza kuja kuwa macontender kwenye hiyo tuzo
1. Salah
2. Kelvin de Bruyne
3. Benzema ( kwa mwaka huu)
 
Kijana Mbappe mnamuoverrate sana. Tena lile timu lake Balon d'Or ataisikia tu kwa wenzie. Nani akupe Balon d'Or wakati unacheza ligi ya wakulima na wavuvi?

Halaand amechagua sehemu sahihi, ila kuchukua Balon d'Or itategemea mafanikioya team nzima, haswa UEFA. Maana Halaand hana matumaini kwenye international football, team yake ya taifa haina maajabu.

Kuna team ukichezea, inakua rahisi sana kushinda Balon d'Or, hasa team za spain. Ukishinda UEFA tu, tuzo inakuhusu. Lakini kuna team ukichezea, hata ukishinda kila kitu, bado hutoboi. Hapa ndipo unaona baadhi ya wachezaji wako tayari kupunguza mishahara ili wakacheze Barcelona au Madrid.

Kwa maamuzi ya Mbappe kuendelea kubaki ligi ya ufaransa, sioni akishinda Balon d'Or hivi karibuni!
 
Mbappe mtu wakuu tuacheni utani. Kama Franc ligi ni mbovu, unasemaje kuhusu ligi za spain, england n.k huko mbappe atikisi wavu?

Sio mbappe huyu huyu alowapiga madrid nje na ndani? Mbappe mtu aiseee.
 
Hao madogo wote hamna wa kuchukua ballon

Hawa ndio watu wanaweza kuja kuwa macontender kwenye hiyo tuzo
1. Salah
2. Kelvin de Bruyne
3. Benzema ( kwa mwaka huu)
Hujaelewa swali shee wangu
 
Mbappe mtu wakuu tuacheni utani. Kama Franc ligi ni mbovu, unasemaje kuhusu ligi za spain, england n.k huko mbappe atikisi wavu?

Sio mbappe huyu huyu alowapiga madrid nje na ndani? Mbappe mtu aiseee.
Hakuna aliyesema kuwa Mbappe ni nyani, ni kweli Mbappe ni mtu ila linapokuja swala la mpira amekuzwa sana kuliko uhalisia.
 
Hao madogo wote hamna wa kuchukua ballon

Hawa ndio watu wanaweza kuja kuwa macontender kwenye hiyo tuzo
1. Salah
2. Kelvin de Bruyne
3. Benzema ( kwa mwaka huu)
Neither of your players will be able to contend for Ballon D'or in the next few years because of their ages but Mbappe and Haaland will be able because they are young and still talented.
 
And if Mohamed Salah will be lucky to win the Ballon D'or then He will win only once like Luka Modrick[2018] or Benzema [The next winner], otherwise I don't see him as contender because of his age.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…