kaka-blaza
Member
- Nov 7, 2019
- 96
- 141
Kama ungepewa nafasi ya kuwa mshauri mkuu kwenye timu yako, na kuna nafasi moja ya usajili na hao vijana wawili wapo sokoni. Ungemchukua nani kati yao?
Au kwa kifupi tuseme kuwa kwa mtazamo wako ni nani Bora zaidi ya mwenzake
A: MBAPPE
B: HAALAND
na je ni yupi atawahi kuchukua ballon d'or kati ya hawa Messi na Ronaldo wa kizazi kipya?
Au kwa kifupi tuseme kuwa kwa mtazamo wako ni nani Bora zaidi ya mwenzake
A: MBAPPE
B: HAALAND
na je ni yupi atawahi kuchukua ballon d'or kati ya hawa Messi na Ronaldo wa kizazi kipya?