hata vitabu vya Mungu ivnasema " Ya Mungu mpeni Mungu na ya Kaisari mpeni Kaisari". hivyo hata wewe Bibie apewe nafasi yako ambayo ni ya muhimu na JP ipewe nafasi yake. Fanya hivyo usiwekeze zaidi JF utawezakosa yote.
So you're trading me for JF???
na malavidavi yake matamu ntapata wapi tena.? Lol
Yes tena a very big problem you remember mkataba wetu ulikuwa unasemaje that clause 2.5 paragraph 3 isome tena vizuri unless umemuhonga hela lawyer akabadilisha.Do u have any problem with that??
Bujibuji 21:19 16th May
2011
Mama watoto wangu
ananibana sana, hataki
kuniona niko busy na na
simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili
niingie JF ni lazima niingie
toilet, maana kinyume na
hapo ni ugomvi mkubwa,
simu zinavunjwa na amani
inatoweka kwa wiki mbili unaweza usiitikiwe salamu
yako.
Ni kauli ya mpenzi wangu toka juzi hatuna story anasubiri jibu, nichague kuwa na yeye au jamii forums.....nakiri kuwa toka nimejiunga na JF ni mimi na simu,..simu na mimi, nikiamka jf, nikienda toilet jf, nikiwa na kazi zangu pia jf nipo nayo, nikilala jf pembeni, yaani sitaki kupitwa na kitu humu jf...sasa bibie kaseemaa wee mwishowe kachoka na kasusa kushiriki chochote na mimi mpaka nimpe jibu eti either nibaki na yeye au niendelee na jf....nifanyeje wanajamvi? Kiukweli nampenda sana lakini at this point kuiacha jamii forums ni ngumu pia...