''Chagua moja, JF au mimi''

...shemeji anakutakia mema huyo,
punguza hiyo addiction kaka!...
ingekuwa ni yeye, ungemuelewa?
 
fanya kila jambo kwa wakati kuna wakati wa bibie kupata ma burudani na kunawakati wa Jf.
 
Mi wangu yupo humu humu. Nilishamshtukia. Ila hatujuani.
 
Mhh mwenzetu inategemea unakuwa ktk topic gani within JF !! Isijekuwa ile ya nanino sasa either anaona kila ukiwa pale suruali inatuna au ktk picha anaona kuna kila dalili za kuikuta yake soon na uka- m-Isangura au kum-Matumla πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ Dunia ina vituko hii na usicheze na binadamu.... lol

 
Me hii kitu huwa sijamwambia kabisa wife, coz nlikuwaga facebook nikajifuta coz ilitaka kuvunja ndoa kabisa nikaona mambo ya kijinga nikaaga marafiki nikafuta na ss ni mwaka na nimeshazoea tu, Uzuri wa humu jamii ni hakuna mapicha picha si unajua tena mambo ya photoshop zinavyowapendezesha watu.
Kwahiyo ni bora tu uwe na mda maaumu wa kuona hivyo vitu kwani unaweza jikuta umevunja ndoa kimchezo tu.
 
usiombe na yeye akajiunga,kibao kitakugeukia!!
 
kam tatizo ushalijua nina imani halito kusumbua mpe muda wake na jf ipe muda wake haiwezekani uwe hivyo naye akae kimya ebu jiulize wewe ungependa kama naye angekuwa busy na simu kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…