Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabla ya yote rudisha ile avatar kwanza..Acha ushabiki Mondray
Wagombanao ndio wapatanao ujue
Shika jembe ukalime ohoooo
Si
Safi sana
Mapenzi mubashara kabisa
Only one . Guess who!Utaishiwa nguvu Daby na ulivo na wengi sasa mh mpaka nakuonea huruma
Hahaha.Husna
Kwahiyo hapo mtaondoka hivihivi
Asee!
Good night...Come and take me Tehteh
Sipati picha utakavonimeza mzima mzima khakha
Nafsi kukutuma hivyo basi haina nia njema na weweNachohitaji BASHITE na basha wake waachie nafasi nchi imewashinda. Nafsi yangu itakua poa..
Mh. Kwa kauli hii, naanza kuuona udikteta ni sehemu ya maisha ya mtz tatizo nafasi ndio ni chache za kuonyesha udkteta wetuSipangiwi cha kufanya ujue!!!
Tena ukisema ndio naongeza kabisaaaa sifanyi kazi
Mh kazi nyingine ngumu sana
Zimekaa ki kupimana imani tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] kajificha nyuma ya kibodi yake hana shidaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hujipendi wewe
Zama nyingine hizi ohoooo
Awamu ya tano hii shaurilo