Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hajawahi kupata timu iliyocheza walau robo fainali ya CAF Champions LeagueAziz k
Juma Shabani
Alikuwa balaaa huyu mtuJuninho Pernambucano
Faulu moja tumweke kwa ushindani, ile ya mtibwa msiiandike.Sema nini hapo wamesahau jina la kiumbe mmoja Aziz K ukitaka ushuhuda muulize Aishi Manula wa Simba na Ahmada wa Azam
Pele sio mtu mzuri, alikuwa munyama.Hakuna alichobakisha kwenye soka.Juninho ndio bora zaidi ana rekodi ya goli nyingi za free kicks, ila kwenye hiyo list ungeweka marehemu babu pele, nadhani katika magoli ya freekicks yeye ni wa pili kwa idadi baada ya juninho.
Labda kudaka tu yule mzee sio mtuPele sio mtu mzuri, alikuwa munyama.Hakuna alichobakisha kwenye soka.