Chagua mpigaji wako mmoja hatari wa Free kick

AntΓ΄nio Augusto Ribeiro Reis JΓΊnior (born 30 January 1975), commonly known as Juninho Pernambucano or simply Juninho, is a Brazilian former professional footballer who was most recently the sporting director of French club Olympique Lyonnais. A dead-ball specialist noted for his bending free kicks, in particular the knuckleball technique which he developed, Juninho holds the record for the highest number of goals scored through free kicks and he is considered by many to be the greatest free kick-taker of all time
 
Juninho ndio bora zaidi ana rekodi ya goli nyingi za free kicks, ila kwenye hiyo list ungeweka marehemu babu pele, nadhani katika magoli ya freekicks yeye ni wa pili kwa idadi baada ya juninho.
 
Roberto Carlos yeye akitengewa free kick Hana haja ya kutumia akili, nyie wekeni ukuta alaf yeye anajivuta kidogo mbali alaf anakuja Kwa speed moja si ya nchi hii anafyatua Bomba hyo mtajijua na ukuta wenu , kipa adake asidake mpira unajaa wavuni, inasemekana jamaa akipiga Kasi ya mpira inakuwa 1000km/hr....na alishawahi toboa nyavu 😁😁😁😁😁


 
Sema nini hapo wamesahau jina la kiumbe mmoja Aziz K ukitaka ushuhuda muulize Aishi Manula wa Simba na Ahmada wa Azam
Faulu moja tumweke kwa ushindani, ile ya mtibwa msiiandike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…