Juninho Penambucano
Kama sikosei juninho ana goli 77 za freekicks pele ana 70 hivi..Pele sio mtu mzuri, alikuwa munyama.Hakuna alichobakisha kwenye soka.
Chai, nyavu haziwezi kutobolewa na shutiRoberto Carlos yeye akitengewa free kick Hana haja ya kutumia akili, nyie wekeni ukuta alaf yeye anajivuta kidogo mbali alaf anakuja Kwa speed moja si ya nchi hii anafyatua Bomba hyo mtajijua na ukuta wenu , kipa adake asidake mpira unajaa wavuni, inasemekana jamaa akipiga Kasi ya mpira inakuwa 1000km/hr....na alishawahi toboa nyavu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2491015
Marehemu alikuwa mtu,Kama sikosei juninho ana goli 77 za freekicks pele ana 70 hivi..
Mtu na ¾Marehemu alikuwa mtu,
Hatai kwei kwei, halafu zama hizo.Mtu na ¾
List bila Messi na Aziz Ki ni batili