Chagua mpigaji wako mmoja hatari wa Free kick

Chagua mpigaji wako mmoja hatari wa Free kick

Kuna mwamba mmoja ni marehemu alikuwa anaitwa Sinisa toka huko pande za nchi za balkan.
 
Roberto Carlos yeye akitengewa free kick Hana haja ya kutumia akili, nyie wekeni ukuta alaf yeye anajivuta kidogo mbali alaf anakuja Kwa speed moja si ya nchi hii anafyatua Bomba hyo mtajijua na ukuta wenu , kipa adake asidake mpira unajaa wavuni, inasemekana jamaa akipiga Kasi ya mpira inakuwa 1000km/hr....na alishawahi toboa nyavu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]


View attachment 2491015
Chai, nyavu haziwezi kutobolewa na shuti
 
Diego forlan mbona hayupo hapo kwenye list
 
Back
Top Bottom