Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hao hata ndani ya VPL tu hawachomozi. Labda kuwe na Ligi ya Maveterani.
Ongeza Paul Maldin, Zambrota.Umepewa orodha ya mabeki wa kati wengi katika list, unapaswa uchague pair ya mabeki wawili tu, karata yako itaenda kwa nani na nani?
View attachment 1720708
Alessandro nesta na Franco baresi.
Vidic yukwapi? Fake list
Tunasusa
Sergio Ramos
Vincent Kompany
Canavaro, Ramos
Yondani&Nyoso
Ongeza Paul Maldin, Zambrota.
Weka Onyango kwanza ndio uniite
Vidic yukwapi? Fake list
Tunasusa