PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao hata ndani ya VPL tu hawachomozi. Labda kuwe na Ligi ya Maveterani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hao hata ndani ya VPL tu hawachomozi. Labda kuwe na Ligi ya Maveterani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weka Onyango kwanza ndio uniite
Hapo hapiti mtu labda shevishenko tu [emoji3][emoji3]Motooo[emoji91][emoji91]
Sijawahi ona beki kama yule mwanaume, alikuwa anaweka kichwa beki mwingine hata mguu asingewekaLabda kama Vidic alikuwa anacheza golf
Baada ya hawa jamaa kuondoka Wenger hakushinda ligi tenaMartin Keon & Tony Adams.
Hata kama kwenye list awamo.
Sijawahi ona beki kama yule mwanaume, alikuwa anaweka kichwa beki mwingine hata mguu asingeweka
Utopolo mtakufa na kihoro, mwambieni Msola kwamba yule mzee wa utopolo kasema sahizi anafanya mazoez ya kumtoa roho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]Hao hata ndani ya VPL tu hawachomozi. Labda kuwe na Ligi ya Maveterani.
Baada ya hawa jamaa kuondoka Wenger hakushinda ligi tena
Keown alikwepo.Tony Adams hakuwepo kwenye Invincibles.