M Mailman JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 819 Reaction score 2,106 Mar 10, 2021 #41 Back2Back-10 said: Keown alikwepo. Click to expand... Alikuwepo, lakini alicheza game zisizozodi kumi. Siyo sawa kusema eti Arsenal haikupata ubingwa tena baada ya wao kuondoka.
Back2Back-10 said: Keown alikwepo. Click to expand... Alikuwepo, lakini alicheza game zisizozodi kumi. Siyo sawa kusema eti Arsenal haikupata ubingwa tena baada ya wao kuondoka.
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,284 Reaction score 24,047 Mar 10, 2021 #42 Back2Back-10 said: Baada ya hawa jamaa kuondoka Wenger hakushinda ligi tena Click to expand... Sio kweli mkuu.
Back2Back-10 said: Baada ya hawa jamaa kuondoka Wenger hakushinda ligi tena Click to expand... Sio kweli mkuu.
el nino JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,712 Reaction score 5,058 Mar 10, 2021 #43 John terry na Ricardo Carvalho ndio wanashikilia rekodi ya kufungwa goli chache zaidi England, goli 15 msimu mzima!
John terry na Ricardo Carvalho ndio wanashikilia rekodi ya kufungwa goli chache zaidi England, goli 15 msimu mzima!