Uchaguzi 2020 Chagua Seif Maalim Seif, Mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya AAFP

Tunakaribia saa chache za kufanya UAMUZI muhimu kwa mustakbal wa watu,nchi,taifa na maendeleo yetu.Bado tuna changamoto ya kutambua UMUHIMU wa demokrasia na faida yake.
 
Unadhan kutumia jina linalofanana na mgombea mwenye wafuasi karibia zanzibar yote ndio tiketi ya wewe kupata kura, utapata kura yako labda na familia yako tu.
 
Umeongea Ukweli mtupu Maalim ,inasikitisha sana nchi yenye kila aina ya utajiri still wananchi wake ni masikini wa kutupwa wakati mafisadi ya ccm yanajisifu kutembelea V8 na 1JZ halafu hawaizimi inaunguruma ikiwa silence na ndani kipupwe kama mufindi.

Mkiingia madarakani:-

1.Bima ya afya ni muhimu sana ,wananchi wanatekeseka kwa matibabu.
2.Fao la kujitoa na pia Maalim ZSFF nao waweke fao la kujitoa maana huko halipo.
3.PAYE ni shida ,wapunguze PAYE maana haina maana ,serikali ijikite kwenye vyanzo vya asili vilivyonacho.
4.VAT ipungue ili purchasing power iongezeke.
5.Investors wapewe kipaumbele hao ndio wanaoajiri % kubwa ya wananchi ,serikali haiwezi kuajiri watu wote ,sector binafsi ndio waajiri wakuu.
6.Mikopo kwa vijana ,wakinamama ,kutoka halmashauri.
7.Benki zinapata faidi kubwa sana wajaribu kupunguza riba za mikopo na charges montly ,ATM fees etc
8.Elimu rure hadi chuo....Kabla ya bodi ya mikopo watu walikuwa wanasoma bure.
 
Mzee unaonaje ukapumzika siasa sasa maana kila Uchaguzi unagombea Urais wewe tu it is as if wewe una haki ya kuzaliwa ya hiyo nafasi.
Yaani nyie Vijana wa Chakubanga hata content ya thread hamsomi umesoma jina tuu ukajua ni Maalim Seif wa ACT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…