momentoftruth
JF-Expert Member
- Jul 5, 2014
- 2,013
- 2,089
l thought we were talking about playing position!14 was his number
1.Jari Litmanen hasa yule wa Ajax
Aliibeba Ajax ya Louis Van Gaal kwenye mabega yake.
2.Roman Riquelme
Dunia ya soka haikuwahi kumpa credit zake.
Kontroo yake maridadi mno. Timing na movement zake ni level za juu sana.
3.Wayne Rooney
Wengi hupenda kumuita Pele mweupe, anakuofa vitu vingi, nguvu, akili, jihadi. Sema tu kwakuwa alicheza katika zama za Messi na Ronaldo. Wazza ni one of the most underrated player of all time.
Muondoe andunje/mbilikimo kwenye list then muweke GAUCHO!Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?
Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric
Hiyo ni list yangu. Panga ya kwakoMuondoe andunje/mbilikimo kwenye list then muweke GAUCHO!
Nopel thought we were talking about playing position!
Wazza toka atoke untd sina tena mzuka kucheki game tena1.Jari Litmanen hasa yule wa Ajax
Aliibeba Ajax ya Louis Van Gaal kwenye mabega yake.
2.Roman Riquelme
Dunia ya soka haikuwahi kumpa credit zake.
Kontroo yake maridadi mno. Timing na movement zake ni level za juu sana.
3.Wayne Rooney
Wengi hupenda kumuita Pele mweupe, anakuofa vitu vingi, nguvu, akili, jihadi. Sema tu kwakuwa alicheza katika zama za Messi na Ronaldo. Wazza ni one of the most underrated player of all time.
Zidane kwa levo ya klabu hakuwahi kuvaa jezi na. 10MESSI
MARADONA
REQUELME
JOHAN CRUIFF
SHEIKH ZIDANE
ORIO ORTEGA
mzee hao wakina maradona walicheza soka ambalo hata offside hakunaMaradona
Pele
Messi
Gaucho
Watatu hawatoshi
Dyabala!!!?? Pumbavu kabisaKwamba Dyabala yupo ila Van Nestroooy hayupo! Utani huu!
Asee achana na hao miamba. Hebu uje utafute hata clip zao nyingi utajua tu hao majamaa waliku Wa hawajimyambafai Bali walikuwa ni miamba kwelikweli. Vitu vingi wanavyofanya wachezaji Wa kileo ni kopi tu za hao majamaamzee hao wakina maradona walicheza soka ambalo hata offside hakuna
Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?
Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric