Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

Wazza=Unsung hero
1.Jari Litmanen hasa yule wa Ajax
Aliibeba Ajax ya Louis Van Gaal kwenye mabega yake.

2.Roman Riquelme
Dunia ya soka haikuwahi kumpa credit zake.
Kontroo yake maridadi mno. Timing na movement zake ni level za juu sana.

3.Wayne Rooney
Wengi hupenda kumuita Pele mweupe, anakuofa vitu vingi, nguvu, akili, jihadi. Sema tu kwakuwa alicheza katika zama za Messi na Ronaldo. Wazza ni one of the most underrated player of all time.
 
Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?

Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric
Muondoe andunje/mbilikimo kwenye list then muweke GAUCHO!
 
And there is Lord William Gallas
images.jpeg
 
1.Jari Litmanen hasa yule wa Ajax
Aliibeba Ajax ya Louis Van Gaal kwenye mabega yake.

2.Roman Riquelme
Dunia ya soka haikuwahi kumpa credit zake.
Kontroo yake maridadi mno. Timing na movement zake ni level za juu sana.

3.Wayne Rooney
Wengi hupenda kumuita Pele mweupe, anakuofa vitu vingi, nguvu, akili, jihadi. Sema tu kwakuwa alicheza katika zama za Messi na Ronaldo. Wazza ni one of the most underrated player of all time.
Wazza toka atoke untd sina tena mzuka kucheki game tena
 
mzee hao wakina maradona walicheza soka ambalo hata offside hakuna
Asee achana na hao miamba. Hebu uje utafute hata clip zao nyingi utajua tu hao majamaa waliku Wa hawajimyambafai Bali walikuwa ni miamba kwelikweli. Vitu vingi wanavyofanya wachezaji Wa kileo ni kopi tu za hao majamaa
 
Hao hao unaowaona kwenye avatar yangu ndio namba 10 bora kabisa kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka...wenye wivu na chuki karibuni!
 
Back
Top Bottom