Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Kombe la dunia? Messi ataendelea kuota japo sipingi kuwa ni mchezaji mkubwa ila mbwembwe za Gaucho zinautamu wake uwanjani ambao Messi hana ndo maana Gaucho kufutika ni ngumu.Yani Gaucho aliedumu miaka mi 3 na kidogo alafu umlinganishe na Messi aliedumu 10 years and something katika ubora wake, na Mwenye mataji/mafanikio mengi zaidi kuliko Gaucho! Wabongo ndio maana huwa tunafeli kila sector...
LEO10Ε 2004-2019 π
La Liga: 2004β05, 2005β06, 2008β09, 2009β10, 2010β11, 2012β13, 2014β15, 2015β16, 2017β18, 2018β19 ametwaa mara 10
Copa del Rey: 2008β09, 2011β12, 2014β15, 2015β16, 2016β17, 2017β18 ametwaa mara 6
Supercopa de EspaΓ±a: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018 ametwaa mara 8
UEFA Champions League: 2005β06, 2008β09, 2010β11, 2014β15 ametwaa mara 4
UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3
La Liga Best Player: 2008β09, 2009β10, 2010β11, 2011β12, 2012β13, 2014β15, 2017β18, 2018β19 ameshinda mara 8
La Liga Best Forward: 2008β09, 2009β10, 2010β11, 2011β12, 2012β13, 2014β15, 2015β16 ameshinda mara 7
FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011 ameshinda mara 2
Pichichi Trophy: 2009β10, 2011β12, 2012β13, 2016β17, 2017β18, 2018β19 ameshinda mara 6
GAUCHO 2003-2008 π
Winner:
La Liga (2): 2004β05, 2005β06 mara 2
UEFA Champions League: 2005β06 mara 1
Supercopa de EspaΓ±a (2): 2005, 2006 mara 2
Ballon d' ore amechukua mara 1 tu
Sasa huyu kweli wa kumfananisha na Messi, tukienda kwenye performances/kuuchezea mpira gaucho wako kafunikwa ile mbaya...ukiniambia kupiga watu kanzu hapo sawa sikubishii.
Kombe la dunia? Messi ataendelea kuota japo sipingi kuwa ni mchezaji mkubwa ila mbwembwe za Gaucho zinautamu wake uwanjani ambao Messi hana ndo maana Gaucho kufutika ni ngumu.
Yaani we jamaa wewe! Umewalinganisha Gaucho na Messi kwenye tuzo mbalimbali na makombe mbalimbali ambayo Messi amemzidi Gaucho ulipofikia kwenye WORLD CUP ukaona upotezee!! Dinho hakubakiza kitu.πππUnachekesha sana, wabongo hapo ndio huwa tunafeli ππ...ile ni team work babaa na si juhudi zake elewa basi kijana..basi kama ndio kigezo chako hata Pogba, Giroud, Mbappe na Griezmann pia ni bora kuliko Messi maana wanakombe pia..Iniesta, fabregas, David villa, Bosquets, Torres na xavi pia ni bora kuliko Messi ππ
Na kama unavyodai Gaucho ni ngumu kufutika basi tuonyeshe alipo katika 10 bora ya wachezaji wa muda wote? Hapo ndipo ntakuona unaujua mpira na sio kuongelea udambwi wake while hata Maradona kaufanya sana tena more than him na kuzipatia timu zake mafanikio makubwa..udambwi usio na mafanikio katika timu huo ni ulimbukeni tu kijana...Messi kila unachotaka uwanjani anakupatia, msaada wake mkubwa ndani ya timu hautafutika kamwe...
Ameipatia La liga 10
Copa del rey 6
Supercopa 8
Uefa 4
Uefa super cup 3
Fifa club w/c 3
Arsene Wenger: βWho is the Best Player in the World? Leo Messi. Who is the Best Player Ever? Leo Messi.β huyu ni asrsen wenger, mimi na wewe kama nani tubishe! Zaidi Fungua hapa π
/Quotes on Lionel Messi
The greatest ever quotes on the living FC Barcelona legend Lionel AndrΓ©s Messi. Donβt miss anything that is said about the Argentine international. Quotes on Lionel Messi: β’ Pep Guardiola: βHe is the best player I have ever seen. The best thing about him is not what he does but how simple he...barcauniversal.com
Na kama unavyodai Gaucho ni ngumu kufutika basi tuonyeshe alipo katika 10 bora ya wachezaji wa muda wote? Njoo na jibu halisi hapa sitaki longo longo kijana!
Yaani we jamaa wewe! Umewalinganisha Gaucho na Messi kwenye tuzo mbalimbali na makombe mbalimbali ambayo Messi amemzidi Gaucho ulipofikia kwenye WORLD CUP ukaona upotezee!! Dinho hakubakiza kitu.πππ
Muondoe Rui Costa apo mueke dihno au PeleUmepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?
Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric