Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

Chagua Watatu Bora Kuwahi Kuvaa Jezi Namba 10

Yani Gaucho aliedumu miaka mi 3 na kidogo alafu umlinganishe na Messi aliedumu 10 years and something katika ubora wake, na Mwenye mataji/mafanikio mengi zaidi kuliko Gaucho! Wabongo ndio maana huwa tunafeli kila sector...

LEO10Ş 2004-2019 👇

La Liga: 2004–05, 2005–06, 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2012–13, 2014–15, 2015–16, 2017–18, 2018–19 ametwaa mara 10

Copa del Rey: 2008–09, 2011–12, 2014–15, 2015–16, 2016–17, 2017–18 ametwaa mara 6

Supercopa de España: 2005, 2006, 2009, 2010, 2011, 2013, 2016, 2018 ametwaa mara 8

UEFA Champions League: 2005–06, 2008–09, 2010–11, 2014–15 ametwaa mara 4

UEFA Super Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3

FIFA Club World Cup: 2009, 2011, 2015 ametwaa mara 3

La Liga Best Player: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 8

La Liga Best Forward: 2008–09, 2009–10, 2010–11, 2011–12, 2012–13, 2014–15, 2015–16 ameshinda mara 7

FIFA Club World Cup Golden Ball: 2009, 2011 ameshinda mara 2

Pichichi Trophy: 2009–10, 2011–12, 2012–13, 2016–17, 2017–18, 2018–19 ameshinda mara 6

GAUCHO 2003-2008 👇

Winner:
La Liga (2): 2004–05, 2005–06 mara 2

UEFA Champions League: 2005–06 mara 1

Supercopa de España (2): 2005, 2006 mara 2

Ballon d' ore amechukua mara 1 tu

Sasa huyu kweli wa kumfananisha na Messi, tukienda kwenye performances/kuuchezea mpira gaucho wako kafunikwa ile mbaya...ukiniambia kupiga watu kanzu hapo sawa sikubishii
.
Kombe la dunia? Messi ataendelea kuota japo sipingi kuwa ni mchezaji mkubwa ila mbwembwe za Gaucho zinautamu wake uwanjani ambao Messi hana ndo maana Gaucho kufutika ni ngumu.
 
Kombe la dunia? Messi ataendelea kuota japo sipingi kuwa ni mchezaji mkubwa ila mbwembwe za Gaucho zinautamu wake uwanjani ambao Messi hana ndo maana Gaucho kufutika ni ngumu.

Unachekesha sana, wabongo hapo ndio huwa tunafeli 😂😂...ile ni team work babaa na si juhudi zake elewa basi kijana..basi kama ndio kigezo chako hata Pogba, Giroud, Mbappe na Griezmann pia ni bora kuliko Messi maana wanakombe pia..Iniesta, fabregas, David villa, Bosquets, Torres na xavi pia ni bora kuliko Messi 😂😂

Na kama unavyodai Gaucho ni ngumu kufutika basi tuonyeshe alipo katika 10 bora ya wachezaji wa muda wote? Hapo ndipo ntakuona unaujua mpira na sio kuongelea udambwi wake while hata Maradona kaufanya sana tena more than him na kuzipatia timu zake mafanikio makubwa..udambwi usio na mafanikio katika timu huo ni ulimbukeni tu kijana...Messi kila unachotaka uwanjani anakupatia, msaada wake mkubwa ndani ya timu hautafutika kamwe...

Ameipatia La liga 10
Copa del rey 6
Supercopa 8
Uefa 4
Uefa super cup 3
Fifa club w/c 3

Arsene Wenger: “Who is the Best Player in the World? Leo Messi. Who is the Best Player Ever? Leo Messi.” huyu ni asrsen wenger, mimi na wewe kama nani tubishe! Zaidi Fungua hapa 👇
/

Na kama unavyodai Gaucho ni ngumu kufutika basi tuonyeshe alipo katika 10 bora ya wachezaji wa muda wote? Njoo na jibu halisi hapa sitaki longo longo kijana!
 
Yaani we jamaa wewe! Umewalinganisha Gaucho na Messi kwenye tuzo mbalimbali na makombe mbalimbali ambayo Messi amemzidi Gaucho ulipofikia kwenye WORLD CUP ukaona upotezee!! Dinho hakubakiza kitu.😀😀😀
 
Yaani we jamaa wewe! Umewalinganisha Gaucho na Messi kwenye tuzo mbalimbali na makombe mbalimbali ambayo Messi amemzidi Gaucho ulipofikia kwenye WORLD CUP ukaona upotezee!! Dinho hakubakiza kitu.😀😀😀

Jibu ushalipata kamanda...huyo ndie Messi the G.O.A.T, hachezi na jukwaa kama jamaa yako, na hafananishwi na mpuuzi yeyote yule..Gaucho mwenyewe amekiri kwa mdomo wake👇
"NILIJUWA MESSI NI BORA ZAIDI YANGU" sasa wewe mmatumbi mwenzagu unabisha nini yahee 😀😀 uzuri wa mimi ninakuja na Facts/statistics na sio kujiropokea tu...

Na nilichogundua unaangalia udambwi tu na si kingine, hata okocha, Zidane na iniesta pia wamefanya huo udambwi wa kupiga watu kanzu, ni kitu cha kawaida sana,;and most of them wamepitia hata neimar na Dybala pia wanafanya hivyo...ndio maana nikasema Messi anafanya kitu ambacho hakijawahi kufanywa na mchezaji yeyote i mean "kitu kipya", may be El diego/Golden boy kwa mbaali...

Messi chenga zake zina faida na mafanikio makubwa katika timu, just think anawapita wachezaji almost wa 5 and keeper then anascore, Freekick na mazagazaga yote unayoyajua...kwa gaucho hivyo vitu sahau ndugu yangu...Messi sio mtu wa jukwaa,;ni mtu wa kazi kazi...ameletwa duniani kwa ajili hiyo tu.

G_real
 
Umepewa nafasi ya kuchagua wachezaji watatu bora kuwahi kuvaa jezi namba 10 kwa levo ya klabu, chaguo lako ni lipi?

Mimi naenda hivi...
1.Messi
2.Rui Costa
3.Modric
Muondoe Rui Costa apo mueke dihno au Pele
 
Back
Top Bottom