Habari ndugu zangu katika ujasiriamali katika jambo lolote lile ambalo tunafikilia kulifanya kuna watu walishalifanya na wakafanikiwa.
Najua tunapenda ujasiriamali lakini chagua kwa watu wakujifunza utafanikiwa zaidi na safari yako itakuwa rahisi.
great thinker