Chagua watu wa kujifunza kwao zaidi kuhusu maendeleo

Chagua watu wa kujifunza kwao zaidi kuhusu maendeleo

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2016
Posts
2,228
Reaction score
2,064
Habari ndugu zangu katika ujasiriamali katika jambo lolote lile ambalo tunafikilia kulifanya kuna watu walishalifanya na wakafanikiwa.

Najua tunapenda ujasiriamali lakini chagua kwa watu wakujifunza utafanikiwa zaidi na safari yako itakuwa rahisi.

great thinker
 
Kwa waliofanikiwa baadhi yao ni wanafiki itabidi uchague kwa makini atakaekuwa tayari kukupa maarifa ya mafanikio .Chukua zake ujumlishe na zako. Nijuze kidogo unaweza kutumia mbinu zote na kuwa mwangalifu bado usifanikiwe kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom