Chaguo la Msomaji.

Chaguo la Msomaji.

Mkuu huu wimbo umeimbwa na nani?
Hebu nipe lyrics zake, manake kweli niko bize sana saa hii nasaka "Mke mwema"

hiyo by Mwaitege... kijana nakuombea upate mke mwema....
 
The secretary umenichekesha sana. dah cku nyng cjasikia nyimbo za makhirikhiri. . . huwa napenda wanavoenzi utamaduni wao!

wewe nakudediketi wimbo mmoja wa zamani, sikumbuki nani aliimba ila ulikuwa na lyrics kama ifuatavyo:
mama nipe nauli nimfuate monica, amekimbia zambia na treni ya mizingo... monica ooo monica uko wapi
 
wewe nakudediketi wimbo mmoja wa zamani, sikumbuki nani aliimba ila ulikuwa na lyrics kama ifuatavyo:

Smiling Saint, nashukuru kwa dedikeshen ya mke mwema. hii ya pili siifahamu kabisa huenda nlikuwa mdogo sana wakat huo wimbo unatoka
 
Last edited by a moderator:
Naona zilipendwa zimeteka sredi leo kwenye madedikesheni... Nawadediketia Ndugu zangu Ivuga pamoja na Loya Klorokwini wimbo wa "umekwisha potea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa"

Ujumbe. Wakumbuke kusali
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom