Amyner
JF-Expert Member
- Jul 13, 2011
- 2,396
- 882
na dedicate COWARD OF THE COUNTRY WA KENNY ROGERS KWA BISHANGA
hahaha bishanga kazi unayo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na dedicate COWARD OF THE COUNTRY WA KENNY ROGERS KWA BISHANGA
Naona zilipendwa zimeteka sredi leo kwenye madedikesheni... Nawadediketia Ndugu zangu Ivuga pamoja na Loya Klorokwini wimbo wa "umekwisha potea mtoto mzuri kwa kunywa chang'aa"
Ujumbe. Wakumbuke kusali
Mamndenyi unaujua wimbo wa Barua wa Les Wanyika?Tanmo nakupa .embe dodo embe dodo limelala mchangani.
Kongosho nampa afrika yote inapenda twist.
Na anavyopenda kukatika kiuno lol
Mamndenyi unaujua wimbo wa Barua wa Les Wanyika?
Nimempatia maana ana pilika pilika kama nini.
Hahahaa pilika km kamwagiwa u.p.u.p.u
senki yuu Mamndenyi. Na wewe nakudediketia wimbo wowote wa Kofi Olomide..
Kunasenki yuu Mamndenyi. Na wewe nakudediketia wimbo wowote wa Kofi Olomide..