Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Dah Yummy huwezi amini nilikuwa sijui kama huu wimbo ndio unaitwa hivi....
Lol niko naudawnload hapa...!
Umenisaidia coz naupenda na nilikuwa nautafuta sana.
Erick nakuongezea na huu.....nsanyu lyange by Juliana Kanyomozi, ngoja Yummy aje auweke!!
Last edited by a moderator: