Halafu vipi CCM mnakacha midahalo? Hamna rekodi ya kutetea au?
Vidole havilingani babu.
How am I supposed to know CCM's plans babu. .....
How am I supposed to know CCM's plans babu. Personally, I think its good politics, obviously hali ya mtanzania wa kawaida sio nzuri, and they are incumbents since 1961. It makes sense kukacha midahalo.
Duh!! "It makes sense kukacha midahalo" Haya bana....
Ushindi ungenoga zaidi kama wananchi wangepiga kura, as opposed tu mbunge kupitishwa bila kupigiwa kura.
Ha ha ha ha,
Nilitegemea mzee wa zero tolerance aanze ligi na kupondea lakini .... mhhhh .... kapulizia tu (ili kuongeza count?).
Mwanzo wa ngoma lele, wakuu wamesema ubunge huu uko unconstitutional. Mbunge hakuchaguliwa na wananchi, hakuteuliwa na rais, si wa viti maalum, si wa baraza la wawakilishi, hata kwenye katiba hayupo. Kaibuka ibuka tu.
Where is the passion?
I am yet to see the machete waving, fist pumping, goot-ishy and unabated, winner takes all ---- kiranga I was expecting.
Yap na mafireplace huko Bumbuli kuna baridi sana au ndio ktk manjonjo ya kinyamwanga...
Kid,
Your day does not end well if you don't take take a thinly disguised backhanded-compliment-cum-cheap-shot at Kiranga huh ? I expressed my views repeatedly and fully on this, with extensive constitutional quotes, on Mwanakijiji's thread "Open Letter to NEC".
I take pride in being almost always reasonable and objective, when machetes are called for I will brandish them. Hell, I will smithereen some with the CERN particle accelerator like I am looking for missing neutrinos if necessary - no need to prompt me-, with the warrant in hand.
Proportionality is key. Moreover, I do not appreciate any attempts at remote control mind games. I said my part. A part that I thought was key, that the process was shoddy, undemocratic, even unconstitutional. If you need further help to identify specific sections of the constitution violated you can ask for that help, else if you have something more to contribute you can.
I continue to uphold the principles of dignified neutrality, blasting the opposition and the ruling party alike, as warranted. Focusing on issues rather than the circus of personalities. Nothing more, nothing less.
Do not try to remote control me, if something warrants my wrath you will not need to prompt me, if you feel the need for extra theatrics, chances are they are not called for.
Mkubali msikubali Januari is an asset! Anazo akili na anaweza kufika mbali sana. Kosa ni kuwa kwenye chama ambacho kinaweza kikamgeuzi kibao kwa vipande vya shaba tu!
Mkubali msikubali Januari is an asset! Anazo akili na anaweza kufika mbali sana. Kosa ni kuwa kwenye chama ambacho kinaweza kikamgeuzi kibao kwa vipande vya shaba tu!