Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkubali msikubali Januari is an asset! Anazo akili na anaweza kufika mbali sana.
ameruhusiwa na makamba?????????? Au kwa sababu ni baba yake! Otherwise wakuu naona tusubiri huyu dogo akishaingia huko mjengoni je atafanya nini???????
Masha's hangovers bado hazijaisha!!!!!!!
But you know that's not a good look, right? Unless you tell me it was medically necessary but anything outside of that is definitely not a good look.
Uzalendo uko wapi? Na mtoto azaliwe Nyamwezi ili iweje? awe raia siyo? Ili baadae asome kwenye shule za US siyo?
Kwa wakati huo huo mnagombea nafasi za kisiasa mkihubiri uzalendo na mapenzi kwa nchi yenu. WTF????!!!!!
Hivi huyu Januari ana "akili" kiasi gani? Maana kila jina lake litajwapo mara nyingi lazima liendane na neno "akili".
Mimi mbona namwona wa kawaida tu. Alichofanya chenye "akili" ni kipi haswa? Na hizo "akili" zake mnazipimaje?
Najua amesomea Marekani kwa mujibu wake yeye mwenyewe. Je alihitimu na heshima gani? Summa Cum Laude? Magna Cum Laude?
Eti ana "akili". Watu bana...
JK, nalifahamu hilo na nimeliandika makusudi nikijua maumivu makubwa yanawasubiri wana Bumbuli kwa miaka 5. Tuombe uzima utajua nasema nini!
Let me be the devils advocate here:
If i am reading this correctly, it seems that the constitution does not specify exactly what should take place kama vyama vingine havita register majina ya wagombeaji wao on time. If this is correct, then kupitishwa kwa kijana huyu bila direct voting is neither constitutional nor it is unconstitutional.
May be what should have happened is for kamati ya uchaguzi (or whatever it is called) to sit down and decide what should have proceed before making the decision. Come to think of it, that should have been the right thing to do. But how independent is this kamati, is another question!!?
Now that this has come to light and wananchi wanaona ni utata, one would hope that a constitutional amendment follows, if indeed this issue was never clarified in the first place.
... Na tukiangalia spirit ya sheria ya kikatiba kuainisha kwamba wabunge watapigiwa kura na wananchi, tunaona kwamba spirit ni kudumisha demokrasia ya wananchi kujiamulia wenyewe viongozi wao, sasa huyu mbunge atakayepitishwa tu bila kupigiwa kura na wananchi uwakilishi wake una uhalali kweli ?.....