βοΈππππππ€ππππ‘οΈ..waasisi 17 wa Tanu hakuna anayepinga historia hiyo.
..hata Mohamed Said sijawahi kumsikia akiwapinga wale waasisi wanaotajwa kuanzisha Tanu.
..Na waasisi hao walikuwa Wazalendo toka kila pembe ya Tanganyika.
..Zaidi, Mohamed Said hajawahi kusema kwamba watu wa bara ya Tanganyika hawakushiriki kudai uhuru, bali amedai kwamba historia ya Waislamu walioshiriki harakati za uhuru ilifichwa.
Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gΔsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
ππKaka Maxence Melo kwanini umecheka lakini?
Unaona Wakili Msomi Nyani Ngabu anavyoibagaza TLS?
Nimelia hadi nime.... fundi bishoo
Walidhani wana uwezo wa kufanya mambo kumbe wapi! Hamna kitu. Ni kupiga kelele tu.Wakati wa Magu TLS walikuwa wanajipa umuhimu wasiokuwa nao kuliko majukumu yao. Kulikuwa na msukumo wa nimekuchokoza tuone sasa utafanya nini ili tu wapate kusukuma hoja iliyokuwa kwapani. Wale marais wao wawili walikuja na ajenda zao binafsi. Sasa hivi sasa akili zishajirudi wako katika majukumu yao ya kawaida kama vilivyo vyama vingine vya wanataaluma.
Wajinga wajinga wafuasi wa Tundu Lisu na Binti Karume.Akina nani hao walipiga kelele mkuu au ni hawa chawa wa Lumumba? ChoiceVariable MamaSamia2025 Lucas Mwashambwa