Mizania
JF-Expert Member
- May 17, 2023
- 3,812
- 3,277
✍️📝👌👍👏👊🤝🙏🎁💐🛡️..waasisi 17 wa Tanu hakuna anayepinga historia hiyo.
..hata Mohamed Said sijawahi kumsikia akiwapinga wale waasisi wanaotajwa kuanzisha Tanu.
..Na waasisi hao walikuwa Wazalendo toka kila pembe ya Tanganyika.
..Zaidi, Mohamed Said hajawahi kusema kwamba watu wa bara ya Tanganyika hawakushiriki kudai uhuru, bali amedai kwamba historia ya Waislamu walioshiriki harakati za uhuru ilifichwa.