Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hata mimi sijauona.uko wapi udini hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi sijauona.uko wapi udini hapo?
Kina Abdul kama wana uwezo watagombea na watashinda kumbuka kinachogombea urais wa mawakili sio usheiskh na uchungajidah: 99%, yangalikuwa mengi ya majina ni Abdul , tungaliona comments nyingi hapa: Living long to see many things, the best scholar is the one who looks far ahead
Kwa hivyo tufuate historia yako?Unazungumzia historia ya 1989 uliofundishwa primary school
Unazungumzia historia ya 1989 uliofundishwa primary school
TLS imegeuka Jumuia ya CCM ipo kuitetea ccm badala ya kutetea Katiba na Sheria mbalimbali.Niliamini TLS ingekuwa Mstari wa Mbele kuipigania Katiba Mpya kwani Katiba iliyopo imepitwa na Wakati Mambo mengi yamebadilika ktk Maisha ya WananchiHivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
TLS imegeuka Jumuia ya CCM ipo kuitetea ccm badala ya kutetea Katiba na Sheria mbalimbali.Niliamini TLS ingekuwa Mstari wa Mbele kuipigania Katiba Mpya kwani Katiba iliyopo imepitwa na Wakati Mambo mengi yamebadilika ktk Maisha ya Wananchi
Sheria nyingi zimekuwa Kandamizi kwa sasa tofauti na kipindi cha nyuma Rais amekuwa MUNGU MTU badala ya kuwa Kiongozi.Lakini TLS ipo KIMYA Kama vile Katiba Mpya haiwahusu.
..TLS sasa hivi wako busy na kuandaa makongamano ya katiba ktk kanda zao hapa nchini.
..hapa chini wanajadili sheria ya usalama wa taifa.
..TLS sio watu wabaya. Dhalimu ndio alikuwa na matatizo.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Dm_SKZlnHBM&pp=ygUMVExTICsga2F0aWJh
Awamu ya 5 ilipambana sana kuudhibiti TLS, labda kuna walichohofia.
Leo unapalilia kaburi?! Maana na wewe umekufa kiroho, japo unajiona unaishiHivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
Yupo Mwabukusi pale, alionesha uwezo wake, au hukuliona hilo mkuu?Mawakili wasio na uwezo wa kuchambua IGA ya DP World 🐼
Ndio Wanataka kumfutia uwakiliYupo Mwabukusi pale, alionesha uwezo wake, au hukuliona hilo mkuu?
Pamoja na uwepo wa majina hayo, nafasi nyingi bado zilikua wazi kwa mawakili kutowasilisha fomu kwa tarehe ya ukomo, ambayo ilikua ni 28.05.2024 hivyo TLS imeongeza muda kwa mawakili wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali, ikiwa ni pamoja na hiyo ya Rais na Makamu wa Rais kuwasilisha fomu zao.Wa
Wakilli msomi Paulo kaunda yupo vizuri huyu classmate
Asante kwa ufafanuzi huuUchaguzi utafanyika Jijini Dodoma kwenye mkutano mkuu wa TLS utaofanyika tarehe 31.07.2024 mpaka tarehe 03.08.2024.
Wanaogombea nafasi ya RAIS wa TLS ni mawakili wafuatao:
1. BONIFACE A.K. MWABUKUSI (MBEYA)
2. EMMANUEL AUGUSTINO MUGA (ILALA)
3. REVOCATUS LUBIGILI KIBWE KUULI (MZIZIMA)
4. PAUL REVOCATUS KAUNDA (WESTERN ZONE)
Wanaogombea nafasi ya MAKAMU RAIS wa TLS ni mawakili:
1. AZIZA OMARI MSANGI (ILALA)
2. LAETITIA PETRO NTAGAZWA (IRINGA)
Mfadhili mkubwa wa TANU alikuwa msukuma...Tanu ilikuwa na wazalendo toka kila pembe ya Tanganyika, sio Pwani peke yake.
..nenda kaangalie waasisi wa Tanu wale 17 ni watu wa wapi.
..kuna kipindi wakati wa kudai uhuru 66% ya fedha za kuendesha Tanu zilikuwa zinatoka eneo fulani sio Pwani.
🙄🙄🤔Hivi siku hizi zile chaguzi za TLS zipo kweli?
Kulikoni?
Manake kipindi cha Rais Magufuli kuna watu walijitoa fahamu na kujaribu kutuaminisha kwamba chaguzi za hicho chama na Rais wake walikuwa na umuhimu sana kwenye mambo yahusuyo nchi.
Tuliokuwa na utulivu wa hisia tuliwaambia hao watu kwamba, TLS haina nguvu yoyote ile iliyo ya maana kwenye uendeshaji wa nchi.
Kila hao TLS walipofanya viuchaguzi vyao, maadui wachache wa Rais Magufuli walipiga mayowe humu mitandaoni kama hawana akili nzuri vile.
Sasa siku hizi imekuwaje tena? Pepsi imeishiwa gęsi au namna gani wajameni?
TLS ipo kweli?
Mkuu umeuliza maswali muhimu sana, yajibiwe na mtoa hoja!..Rais mmoja wa TLS alicharangwa risasi utadhani ni ndovu.
..Rais aliyefuatia wa TLS ofisi yake iliwahi kulipuliwa kwa bomu la kivita.
..Matukio hayo yalitokea wakati wa utawala wa Jpm.
..WHY?
🤣 🤣 🤣 👊Hadi uwakumbuke ina maana kuna upekee wao.Kama vipi,jidai umewasahau tu.Kwani shing ngapi?