LGE2024 Chaguzi zetu za ngazi za serekali za mitaa, tunafahamiana sana!

LGE2024 Chaguzi zetu za ngazi za serekali za mitaa, tunafahamiana sana!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Hakika uchaguzi za serekali za mitaa wengi tunafahamiana na nathubutu kusema chaguzi hizi ni "" tega nikutege, mwiba!""

Bwana mmoja katika mtaa wangu, ambaye tunafahamu kweli namaanisha in and out!, katika kugombea kwa tiketi to chama fulani, kwenye kazi akajijazia katika form kama mfanyabiashara, ilihali sisi wanakitaa tunafahamu ni mtu mchezo bao, na kupiga virungu kwa wingi, maana hampiti mtu bila kuomba chochote ikiwa hauna kabisa basi atakulazimisha umnunulie japo sigireti, hakika suala la maelfu kuenguliwa lina msingi mkuu si bure, watanzania wanawajua vyema!

Alamsiki.
 
Back
Top Bottom